Swali kwa Dr. Kitila, Zitto Kabwe, Mwigamba na Albert Msando

Swali kwa Dr. Kitila, Zitto Kabwe, Mwigamba na Albert Msando

Naona umeamua kujitoa ufahamu kwa kukata mauno jf, unanipa raha... endelea kukatika honey...

Hujui chochote wewe, uko ktk mambo ya honey(asali) wakati sisi tuko kwenye operation pambana na Chadema.
Kakojoe ulale wewe, mambo ya asali kaa nayo wewe na wajinga wako sisi tunapambana na Chadema haswa
ACT-Tanzania chama makini kupambana na Chadema TU
 
ACT ni Chama makini watch me,Mwigamba,ZZK na Kitila Mkumbo vijana makini,tunataka mageuzi ndani ya Chama kipya sasa,propaganda zifikie tamati
Chama chenyewe ni kipya, mnataka kufanya mageuzi gani?
 
Kwanza niwapongeze wachangiaji kwa kutambua uwepo wa ACT na kuipa promo,kwa Tanzania ya sasa inahitaji chama kinachojali maslahi ya wanyonge kama ACT.

kuuliza swali kuwa Zitto na Dr.Kitila wataweza kuleta mabadiliko kwa vitendo ni kujitoa ufahamu.

uadilifu wa Zitto ni wa kupigiwa mfano,ni Mbunge pekee aliepinga posho kwa maneno na vitendo.

Ndio mbunge pekee ndani ya Bunge la katiba na Bunge la Jamhuri asiepokea posho.

Kiukweli kama Zitto atajiunga na ACT basi chama hiki kitaungangwa mkono na watanzania wengi ambao wameshakatishwa tamaa na siasa za Maslahi.

Wacha povu liwatoke lkn ACT tunasonga mbele,nyuma kwetu mwiko.

Acha kutumiwa na Mabepari wanaotumia kodi zetu kwenda kutanua Dubai,

Vua gamba ,vua gwanda ,uvae uzalendo.
 
CHADEMA WAZIDI KUMPIGIA MAGOTI ZITTO
KABWE AMBAYE WALIMUITA MSALITI NA
MUHAINI::::Chama Cha Demokrasia na
maendeleo Chadema, kimekuwa katika mikakati
ya siri ya kukutana na Mh.Zitto ili wakutane
katika mazungumzo ya kukinusuru Chama
ambacho kinaendelea kupotea katika ramani ya
siasa za Tanzania.Kwa nyakati tofauti viongozi
wa Chadema taifa wamekuwa wakiwaagiza watu
walioko karibu na Zitto ili wafanye mazungumzo
na yaishe. Lakini Zitto amekataa kukutana na
Mbowe kwani ikumbukwe Mbowe na kundi lake
walimuita Zitto kwa majina mengi. Wapo
waliomuita Zitto ni msaliti,muhaini na wengine
wenye midomo mikubwa walisema Zitto aliuza
majimbo ya Chadema. Sasa kipindi Zitto anauza
majimbo,wao viongozi wa Chadema taifa
walikuwa wapi? au walishirikiana wote kuyauza?.
Wengine wakaenda mbali zaidi wakasema kuwa
Zitto ni mbunge wa Mahakama na kusahau Zitto
ni mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini.
Mbowe akasema hatumuangalii mtu usoni bali
Chama. Dr. Slaa akasema Zitto si Chochote na
ana makosa ya kisayansi.Sasa leo Zitto msaliti
anaonekana mtu muhimu ndani ya Chadema?
Tena MM MSALITI leo muhimu ndani ya
Chadema,Kweli sasa Chadema yaanza kulamba
matapishi.
R.I.P CHADEMA.
KARIBU ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA.
Tofautisha dot.koma,na panga mistari hili usomeke au rudi shule.umeandika kama bata anatembea kwenye matope.patapatapata.intarahamwe.
 
Chadema ndiyo walevi tena ulivyo wao ni ule wa kuwapeleka motoni.

ACT chama makini cha upinzani kinachoshabikiwa na kusifiwa na CCM. Kwa mtu mwenye akili timamu lazima kope zicheze kidogo. Nyie ACT vijana wa CCM wananwaharibia chama chenu. Vyama vya upinzani vyote vilipata umaarufu baasda ya kuwakalia CCM kooni, na wananchi wakaona kweli wananstahili kupewa sapaoti. Sasa nyie mnakuja na gia gani ya kupambana na chama tawala? Au kwenu ACT chama tawala ni chadema? Mimi sijawahi kuamini chama chochote cha upinzani kinacholumbana na wapinzani wenzake! Hata chadema walipolumbana kidogo na CUF nilisikitika sana! Hii ni kwa sababu mnaipa CCM nafasi ya kupumua!
 
ACT ni Chama makini watch me,Mwigamba,ZZK na Kitila Mkumbo vijana makini,tunataka mageuzi ndani ya Chama kipya sasa,propaganda zifikie tamati

Sasa huko ACT wanageuza nini!?? au kuna mtu wa kumgeuza!?
 
Chama chenyewe ni kipya, mnataka kufanya mageuzi gani?

Kweli ACT kiboko mkuu.. kabla hata hakijaanza kazi kimefanya mageuzi makubwa kwa kumtumia Katibu wa ADC kuwa ndo mwenyekiti wake.. Ni mageuzi makubwa kwa kweli.
 
CHADEMA WAZIDI KUMPIGIA MAGOTI ZITTO
KABWE AMBAYE WALIMUITA MSALITI NA
MUHAINI::::Chama Cha Demokrasia na
maendeleo Chadema, kimekuwa katika mikakati
ya siri ya kukutana na Mh.Zitto ili wakutane
katika mazungumzo ya kukinusuru Chama
ambacho kinaendelea kupotea katika ramani ya
siasa za Tanzania.Kwa nyakati tofauti viongozi
wa Chadema taifa wamekuwa wakiwaagiza watu
walioko karibu na Zitto ili wafanye mazungumzo
na yaishe. Lakini Zitto amekataa kukutana na
Mbowe kwani ikumbukwe Mbowe na kundi lake
walimuita Zitto kwa majina mengi. Wapo
waliomuita Zitto ni msaliti,muhaini na wengine
wenye midomo mikubwa walisema Zitto aliuza
majimbo ya Chadema. Sasa kipindi Zitto anauza
majimbo,wao viongozi wa Chadema taifa
walikuwa wapi? au walishirikiana wote kuyauza?.
Wengine wakaenda mbali zaidi wakasema kuwa
Zitto ni mbunge wa Mahakama na kusahau Zitto
ni mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini.
Mbowe akasema hatumuangalii mtu usoni bali
Chama. Dr. Slaa akasema Zitto si Chochote na
ana makosa ya kisayansi.Sasa leo Zitto msaliti
anaonekana mtu muhimu ndani ya Chadema?
Tena MM MSALITI leo muhimu ndani ya
Chadema,Kweli sasa Chadema yaanza kulamba
matapishi.
R.I.P CHADEMA.
KARIBU ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA.

kijana kama huna pointi kanye ulale
 
Chama chenyewe ni kipya, mnataka kufanya mageuzi gani?

Sera na ilani ya Chama ndiyo muongozo wetu Mkubwa,vijana wakishatuelewa basi hapo ndo utajua mageuzi yanapoanzia mkuu
 
subiria wote watoke mafichoni, najau kusogezwa mbele kwa bunge la katiba kutamchelewasha ZZK kuingia kundini. Mpango ulikuwa posho za bunge la katiba na la bajeti wazitumie kujenga ACT. sasa sijui bado wataendelea kumsubiri mpaka bunge la katiba liishe bila ya kuchagua mwenyekiti au la.

Wakianza kazi utajua ugumu wa kujenga chama cha siasa. Tutawahukumu kwa maneno yao wenyewe na matendo yao?

Wote ni watukutu na wajuaji sijui hilo kundi la wasomi wa kizazi kipya litakuwaje. Walishindwa kuwa makini ndani ya chama cha ukweli? wataweza kwenye maigizo? unafikiri ZZK akiwa mwenyekiti atakubali Dr Kitila atengeneza PM8 au mabadiliko 2015 ya kumwondoa ZZK na Mwigamba? unafikiri watakubali?

Kama fedha iliweza kuwanunua na kutaka kuuwa cdm fedha hiyo hiyo itawanunua na kuanza kuchanganyana wenyewe kwa wenyewe.

Mobutu wa zaire alipoona lazima awe na upinzani aliwanunua wengi na kuanzisha vyama vingi viduchu viduchu ili kupunguza nguvu za upinzani. Kwa hili CCM imejitahidi sana. Ila 2015 ACT itachangana na CCM na watagombana wenyewe mtu na mchumba wake.

Haya ni Maoni yako binafsi na siyo reflection ya maneno ya Chama,narudia kusema tupo makini na tu naitaji support ya vijana humu jamvini na kote Tanzania tuweze kuleta ukombozi
 
ACT-Tanzania ni chama makini tuko imara sana.
Sisi ni wataalam wa mambo ya Kupambana na Vyama pinzani vinavyosumbua chama tawala.
AcT tuko kwa ajili ya kupambana na Chadema TU.

kumbe malengo yenu ni kuimarisha ccm kwa strategy ya kudhoofisha cdm?
 
Back
Top Bottom