chadema haikurupuki kufanya maamuzi, baada ya uchunguzi wa kina wa wasaliti na kubaini wanatumia rasilimali za chama kuanzisha chama kingine ilikuwa inafanywa timing tu kuwatimua, ulipopatikana waraka wa siri ikawa ndio tiketi ya kuwaondoaKuna kipindi niliona sio sahihi kuwafukuza cdm hila kwa hili kweli ilikuwa misaliti hii imechukua fedha za ccm
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
Hicho ni kipande cha waraka wa usaliti wa Zitto... Rejea utapata undani. Pia soma waraka wa kitila na Mwigamba kisha jiulize zitto amepunguza ukaribu na viongozi wa serikali kama alivyoagizwa na betrayers?clarify your argumment mkuu
Ni maoni yetu pia kwamba kuanzia sasa MM aenende katika mwenendo ambao utarahisisha ushindi. Mfano tunapendekeza afanye yafuatayo kuanzia sasa:
i. Apunguze ukaribu na viongozi wa serikali na wa chama tawala na awe crical zaidi na utendaji wa serikali nje na ndani ya bunge. source: waraka wa kupindua CHADEMA
Umekosea kidogo....Tangu mwaka 2008 ZITTO ALIPOONYESHA NIA YA KUGOMBEA UENYEKITI WA CHAMA mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa shaka na WAMILIKI WA CHADEMA, Hili lilipelekea kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa ATAWANYANG'ANYA UMILIKI WA CHAMA, UPANGO UKAFANYWA NA WAMILIKI HAO...AKAUNDIWA ZENGWE NA MENGINE NI HISTORIA.
Je, amepunguza ukaribu na viongozi wa serikali kama alivyoshauriwa na wasaliti wengine?Ni maoni yetu pia kwamba kuanzia sasa MM aenende katika mwenendo ambao utarahisisha ushindi. Mfano tunapendekeza afanye yafuatayo kuanzia sasa:
i. Apunguze ukaribu na viongozi wa serikali na wa chama tawala na awe crical zaidi na utendaji wa serikali nje na ndani ya bunge. Source: waraka wa pindua chadema by kitila na mwigamba