Swali kwa dada zangu wa JF

Swali kwa dada zangu wa JF

zamani walikuwepo wakukataa hiyo pesa ila siku hizi hakuna wakukataa hiyo pesa kwa maana papuchi zao ni ofisi siku hizi...tena hiyo kubwa sana umewatajia ungesema tsh 20000 tu inatosha
Aiseeeh
Kwenu wapo hao wa 20 twenty ?
 
Hata laki? Acha utani, anyway mil 2 haziwezi nizuzua na unakuta MTU mwenyewe hana mvuto., MTU naishi Nyumba ya 1.8 bado gharama nyingine nizuzuliwe na 2mil? Ongezeni dau msituchoshe na mil 2
Be sincere mzee mama.
 
Aisee nimeshangaa sana hawa watu, yaani wanaona 2mil mbili kubwa? Hapo wanatulipia kodi?? Au wanadhani tunalala vyumba vya buku 5? Mm na umaskini wangu nalipa 150000 kwa mwezi Leo nizuzuliwe na 2mil??
Ntapata wasiwasi na ya wanaume wa Jf, mm sijawahi kukutana hata na mmoja labda miss nambie kama ulishawahi kutana na mmoja na yupo VIP?
Mkuu itabidi ukutane na mimi kama hujawahi kukutana na hata mwana jf mmoja kabla malaika wa kuzima mitandao hajashuka. Time n place nitakwambia.
 
huo upuuzi siwezi Fanya ...mwili wangu nauheshimu aisee ...siwezi mvulia mtu nguo eti just because ananipa hela ....my dignity is more valuable than any amount of money
Mwenzako akiwa anakufa kwa kiu na wewe una jaba zima la maji. Utamnyima kweli ?
 
Back
Top Bottom