At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,517
- 3,567
Habari,
Samahani leo nimepata kujiuliza hilo swali, hii ni kutokana na wasichana omba omba hivi huwa wanatumia akili gani kuwaza mpaka kufikia hatua kuomba? Hivi wako na rational thinking? Mtu from no where kisa mna mazoea kidogo anakuomba pesa, kisa sijui ulimtaka lakini kakukazia.
Wengine hata haya hana kila ukimuambia hana anarudia tena unamwambia hana pia anarudi tena. Hata haya hawanaga hawa viumbe baadhi!
Nb: mimi sijawahi toa zaidi ya elfu nne kwa msichana asie ndugu yangu.
Kama ni bangi naomba msinipopoe mnielekeze kwa upole maana niko emotional.
Niwatakie heri ya mwaka mpya ujao wa 2023, ukawe wa baraka na mafanikio kwa kila atakaeufikia kwa kudra za Mungu.