Swali kwa akina dada wa JamiiForums

jangala

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,583
2,362
Hivi nyie akina dada wa humu Jf mbona mna ubaguzi sana kuliko sisi wanaume?..Nasema hvyo kutokana na tabia yenu ya kujitenga nasi pindi tunapohitaji msaada kutoka kwenu..mfano hai ni katika Threads ambazo mwanaume akiandika ''NATAFUTA MCHUMBA WA KIKE'' basi mtu huyu hawezi kupata ushauri wala PM yoyote kutoka kwenu labda iwe ni kutoka kwa wanaume wenzie..Ila nyinyi mkiandika ''NATAFUTA MCHUMBA WA KIUME'' Basi thread hiyo utakuta ina page 30 na Pm za kutosha...
SWALI LANGU NI HILI:
1.Wanaume tuna kiherehere au tunashoboka na nyinyi hata kama mtu kasema ana miaka 47 ila thread tutaichangia?
2.Jf hakuna wanawake kiasi cha thread kukosa twin page na pm hata ya kizushi?
Mkishindwa kuchangia na hapa basi ile fifty fifty mnaitaka kinafki..
 
Mkuu ungesisitiza kabisa wanaume wasichangie kwenye huu uzi, maana utaendelea kupata vidume tu
 
WANAWAKE NI SITAKI NA HUKU ANATAKA USIWAONE HIVYO NAO WANAUKAME HATARI UKIZINGATIA KWASASA HAKUNA WAOAJI ILA NAKUPA MBINU YA KUMPATA MWANAMKE YEYOTE DUNIANI WE ONGEA NAYE LIVE YAANI USO KWA USO UNAMPA MANENO MATAMU HADI ANAINAMISHA CHINI KICHWA KWA AIBU THEN UNACHUKUA POINT ZAKO ILA HAPA KUNA WASICHANA UJANA BADO HAUJAISHA HAWAWEZI KUJA KUKUFUATA PM LABDA AWE MDADA AMBAYE ASHAKUWA TOO LATE NDO ATAKUJA PM
 
Kwa kweli wanaume wa huku wana viherehere (sio wote) nashangaaga sana mwenye id ya kike ata aseme nimetoka kukojoa utakuta unapata mpaka kurasa tano ila sasa mwenye id ya kiume aseme kitu kwenda mpaka kusara ya pili ni kazi sana

Mimi naona wengine humu ni madomo zege tuu wanatafutaa kick tu embu waache bana
 
Pole. Uzi huu nao ni mfupi pia. Nikuambie tu kuwa jinsi unavyoanzisha mada na kuiendeleza matters a lot. Wako pia wanawake wanaanzisha mada na haifiki popote. I guess umetoa mfano wa miaka 47 na mada inakuwa na wachangiaji. I might be in this group. Yes with so many viewers, replies na lots of PM. All these are not guaranteeing ones demand fulfilled.
 
1471986646053.jpg
 
WANAWAKE NI SITAKI NA HUKU ANATAKA USIWAONE HIVYO NAO WANAUKAME HATARI UKIZINGATIA KWASASA HAKUNA WAOAJI ILA NAKUPA MBINU YA KUMPATA MWANAMKE YEYOTE DUNIANI WE ONGEA NAYE LIVE YAANI USO KWA USO UNAMPA MANENO MATAMU HADI ANAINAMISHA CHINI KICHWA KWA AIBU THEN UNACHUKUA POINT ZAKO ILA HAPA KUNA WASICHANA UJANA BADO HAUJAISHA HAWAWEZI KUJA KUKUFUATA PM LABDA AWE MDADA AMBAYE ASHAKUWA TOO LATE NDO ATAKUJA PM
Hahahhh kwenye kitengo chako
 
Kuna mmoja alikuja PM akasema anapenda comment zangu akasema eti ooh anatongozwa sana humu JF akawa anatuponda wanaume nikamwabia umekuja kuni enjoy.au kama unatongozwa PM wafuata nin
 
Back
Top Bottom