swali kuhusu reverence pay

mrlonely98

Member
Nov 6, 2009
94
6
Asalaam Wana jamii fourms,

nilikua na swali kuhusu severence pay, sisi offisini hua tunapewa mikataba ya mwaka mmjoa tuu na kwa sheria inavyo sema kwamba severence pay hailipwi kwa mikataba mfupi.
sasa inakuaje kama umefanya kazi zaidi ya miaka mitano kwa kutumia mikataba ya mwaka mmoja kwa kampuni hiyo hiyo? le sipaswi kulipwa severence pay?

nitashukuru sana kama nitapata ufumbuzi kuhusu hili.
 
Back
Top Bottom