Swali kuhusu Kuchinja maiti

Swali kuhusu Kuchinja maiti

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
647
Hivi kwa nini ndugu zangu waislamu huwa wanachinja maiti kabla ya kuzika? Nimeuliza ninao wafahamu wakasema kuwa wanakata koo ili kama maiti alichukuliwa msukule wanamuua ili wakose wote yaani mchawi na wafiwa. Kwangu mimi sikuridhika na hilo jibu naomba kama kuna mtu anayefahamu anieleweshe zaidi.
 
watakusomea albadir sasa wewe endelea kuwachokoza si unawajua lakini
 
duh,kama hiyo kitu ipo basi ni siri kubwa maana sijawahi kuisikia...subiri mitusi na dua mbaya.
 
Du!
Inawezekana wakawa wanafanya kweli kitendo cha aina hii?
Pamoja na umri nilio nao sijabahatika kujua wanapoitisha kisu kule ndani ya kaburi huwa kinafanya kazi gani !
 
Hivi kwa nini ndugu zangu waislamu huwa wanachinja maiti kabla ya kuzika? Nimeuliza ninao wafahamu wakasema kuwa wanakata koo ili kama maiti alichukuliwa msukule wanamuua ili wakose wote yaani mchawi na wafiwa. Kwangu mimi sikuridhika na hilo jibu naomba kama kuna mtu anayefahamu anieleweshe zaidi.
Comrade your bigger than this,otherwise there is something hidden!

Kuuliza si ujinga, swali zuri!

Asante mkuu,nilishtuka kusikia na ningependa kujua zaidi na kama kuna kitabu au link ambayo naweza kusoma ingenisaidia kupata uelewa wa mambo kama haya.
 
Hivi kwa nini ndugu zangu waislamu huwa wanachinja maiti kabla ya kuzika? Nimeuliza ninao wafahamu wakasema kuwa wanakata koo ili kama maiti alichukuliwa msukule wanamuua ili wakose wote yaani mchawi na wafiwa. Kwangu mimi sikuridhika na hilo jibu naomba kama kuna mtu anayefahamu anieleweshe zaidi.

Duh, hata mimi nilisha wahi kusikia, nikashangaa sana. Kaazi kweli kweli...
 
Duh ngoja waje wenyewe watakuparura kwa mitusi na kejeli kibao.
 
Hamna mwenye jibu atoe ufafanuzi kwa maufaa ya wengi? Au inakuwaga siri?
 
hakuna mtu mwenye akili timamu akaulizwa swali kuhusu dini yake,akasoma dua mbaya au kumtusi au kumjibu majibu ya hovyo,kumwambia mwenzenu ategemee kusomewa albadiri na maneno kama hayo kunaonyesha hamna nidhamu ya kutosha kwa watu wenye imani tofaut na za kwenu,na pengine mna mitazamo hasi kuhusu wenzenu jambo ambalo sio jema,me ntarudi kukuelekeza vizuri juu ya jambo hilo ulilouliza...
 
Niliwahi kuisikia mahali lakini nikaipotezea....hebu ngoja nijaribu ku google ikiwezekana tumalize huu utata!
 
hakuna mtu mwenye akili timamu akaulizwa swali kuhusu dini yake,akasoma dua mbaya au kumtusi au kumjibu majibu ya hovyo,kumwambia mwenzenu ategemee kusomewa albadiri na maneno kama hayo kunaonyesha hamna nidhamu ya kutosha kwa watu wenye imani tofaut na za kwenu,na pengine mna mitazamo hasi kuhusu wenzenu jambo ambalo sio jema,me ntarudi kukuelekeza vizuri juu ya jambo hilo ulilouliza...

Nakushukuru kwa hekima zako ndugu. Nitafurahi kufahamu hilo.
 
Hivi kwa nini ndugu zangu waislamu huwa wanachinja maiti kabla ya kuzika? Nimeuliza ninao wafahamu wakasema kuwa wanakata koo ili kama maiti alichukuliwa msukule wanamuua ili wakose wote yaani mchawi na wafiwa. Kwangu mimi sikuridhika na hilo jibu naomba kama kuna mtu anayefahamu anieleweshe zaidi.

Duhh kweli wanakata koo? Mi najua wanakamua mavi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom