Swali kuhusu bosi mpya wa TPDC

Swali kuhusu bosi mpya wa TPDC

6LwA85N4 QAAAABJRU5ErkJggg==
 
Fitna kibao! Soma na wewe kama unataka hiyo nafasi siyo kulia lia ...
Hivi huyu jamaa analipwa mshahara kiasi gani?

Na inawezekana vipi akawa anatumia milioni 70 za walipa kodi kila mwezi kwenda kutazama familia yake USA na kurudi?

Kwanini anatumia muda mrefu zaidi USA kuliko ofisini kwake?

Cha ajabu toka apewe hiyo kazi hakuna lolote la maana alilolifanya mradi wa mtambo wa LNG wa dola bilioni 25 na ushee huko Mtwara ushakwama kwa sababu watu wamekula pesa za viwanja na kesi za ajabu ajabu zimefunguliwa.

Mbaya zaidi huyu jamaa amebatizwa jina pale ofisini kwake wanamwita CAPTAIN AMERICA na wengine wanamwita MSAFIRI. Hivi haoni wenzake kama bosi mpya wa TCRA wanavyofanya kazi?

Halafu Magufuli ana tafuta wachawi wakati wapo wazi wazi.
 
Hivi una uhakika ni hicho kiasi cha pesa ulichoandika? USD 25 billions? Unajua mradi wa kujenga reli Standard Gauge kwa kilometer 2,500 ni USD 7 billions? Hiyo LNG plant tu ndio iwe USD 25 billions? Kweli?

Yuko sahihi na hizi pesa ni za wawekezaji siyo zetu tungekua tunawekeza kwa kutumia budget yetu ingekua shughuli kidogo.
 
Tatizo wana JF mnapost mada isiyokuwa na chanzo cha habari (source). Huyo Boss mpya wa TPDC ni nani? Mimi namjua Yona Kilighane kama ameingia Mzungu tueleze mtoa mada.

Uko nyuma sana na Tanzania tena hujui kinachoendelea. Kilighane amemaliza muda wake siku zimepita.
 
Sioni kama kuna ukweli hapa...pesa kiasi hicho kinatumikaje kwa safari tu? Halafu kwa taratibu za kiserikali Mkurugenzi kama yule alisafiri lazima atoe taarifa kwa Katibu Mkuu wake na aeleze nia na madhumuni ya safari.... Kuhusu mradi wa LNG na mm naungana na huyu mwingine alieuliza kwani suala la ardhi ni la Tpdc pia? Sio kwamna kuna wizara husika? Na kama kuna watu wamekula pesa hizo si kuna auditing ya CAG inafanyika kwa taasisi za umma kila mwaka? Tusome hizi ripoti tujue ukweli

CAG Mara ngapi amesema TPDC INA madudu je? Hatua zipi zimechukuliwa
 
Hivi huyu jamaa analipwa mshahara kiasi gani?

Na inawezekana vipi akawa anatumia milioni 70 za walipa kodi kila mwezi kwenda kutazama familia yake USA na kurudi?

Kwanini anatumia muda mrefu zaidi USA kuliko ofisini kwake?

Cha ajabu toka apewe hiyo kazi hakuna lolote la maana alilolifanya mradi wa mtambo wa LNG wa dola bilioni 25 na ushee huko Mtwara ushakwama kwa sababu watu wamekula pesa za viwanja na kesi za ajabu ajabu zimefunguliwa.

Mbaya zaidi huyu jamaa amebatizwa jina pale ofisini kwake wanamwita CAPTAIN AMERICA na wengine wanamwita MSAFIRI. Hivi haoni wenzake kama bosi mpya wa TCRA wanavyofanya kazi?

Halafu Magufuli ana tafuta wachawi wakati wapo wazi wazi.

safari zimepigwa marufuku rasmi
 
Mkuu tikianza kuwashughulikia watu wa namna hii ni muda ndio tukae sawa.
 
Dr James mataragio nguli wa mafuta na gesi duniani tumemtoa wenyewe huko usa alipokuwa anafanya kazi
Hawa ndio akina balali, ndulu type

Asilete uzandiki,kama hataki kuhamishia familia hapa,fukuza.Bora kuajiri mzungu atakayeishi hapa lkn tuone tija, mambo ya kunyenyekeana hakuna awamu hii.
 
Hivi huyu jamaa analipwa mshahara kiasi gani?

Na inawezekana vipi akawa anatumia milioni 70 za walipa kodi kila mwezi kwenda kutazama familia yake USA na kurudi?

Kwanini anatumia muda mrefu zaidi USA kuliko ofisini kwake?

Cha ajabu toka apewe hiyo kazi hakuna lolote la maana alilolifanya mradi wa mtambo wa LNG wa dola bilioni 25 na ushee huko Mtwara ushakwama kwa sababu watu wamekula pesa za viwanja na kesi za ajabu ajabu zimefunguliwa.

Mbaya zaidi huyu jamaa amebatizwa jina pale ofisini kwake wanamwita CAPTAIN AMERICA na wengine wanamwita MSAFIRI. Hivi haoni wenzake kama bosi mpya wa TCRA wanavyofanya kazi?

Halafu Magufuli ana tafuta wachawi wakati wapo wazi wazi.

...waulizeni utawala uliopita ndio walimweka huyu jamaa....kama tayari wafanyakazi wa chni yake wanamlalamikia basi tayari keshakwama....huwezi kuishi kwa tofauti kubwa namna hii na wale walio chini yako alafu ukawa na tija...ukizingatia mazingira ya kikazi ya US na TZ ni sawa na mbingu na dunia....Kuna mambo yanafanyika TZ huyaoni nchi nyingine kabisa...
 
Mkuu masuala ya la Wakurugenzi wa Kuu kufuja pesa kwenye safari za nje zisizo na tija kwa Taifa lipo kwenye baadhi ya Mashirika ya Umma nchini yakiwemo Crop Boards specifically Shirika la SUKARI - Dk.Magufuli lifatilie kwa karibu Shirika hilo - zao la SUKARI ni Political Commodity kuna madudu mengi pale.

Mishahara na marupurupu ya watumishi wa umma ni lazima upunguze na matumizi yathibitiwe ili serikali ipite kodi. Tangu scopo ifutwe baada ya ubinafsishwaji mashirika watu wanapiga pesa wanavyotaka. Nidhamu imetoweka.
 
Back
Top Bottom