Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
-
- #101
Yani wewe na elimu yako ya Dar inakuambia King ni mwanaume tu?!Ulishaona wapi mwanamke ni king bila kuwa queen au jikeshupaa? Acha usaidiwe kabla ya kuokota makopo Barabarani! Jaribu kurudisha heshima kwa kuacha kudanga (udangaji huenda sambamba na matumizi ya nganda)
NaonaDanga ni streka hatari sana anachezea timu ya ukimwi fc
AiseeOni sigara, anasema ni kusaka au kutafuta.
Danga ktk kiswahili fasaha ni maziwa ya mwanzo ya mzazi, yale ya njano njano.
Kimtaani danga ni msamiati mpya wa buzi kama sijakosea, anayedanga ni malaya.
AyaDanga
Ufafanuzi wa malaya katika KiswahiliDoh
Na malaya ni nani sa
Hivi maziwa hayo (Colostrum) niDanga kwa Kiswahili fasaha ni MAZIWA YA KWANZA KABISA YA BINADAMU AU MNYAMA ambayo huwa ni chakula na kinga kwa mtoto au ndama. Maziwa haya huwa ya njano.
Mie si mwanamke ni mwanaume. Hapo unajidhirisha nati ilivyolegeaYani wewe na elimu yako ya Dar inakuambia King ni mwanaume tu?!
Ahahahaha haha ushawahi kuonekana mshamba japo umesoma?!
Nenda katafute maana ya KING WOMAN kwenye Oxford dictionary na Google ya Pdf uone
Sio unaongea kama kichaa
Hujui vitu kaa kimya
There's a new Paradigm shift about King Women
Katafute Findings uone maanake Sio unakaa JF unajiona biingwa
Alafu urudi uniambie Kati yangu na wewe nani kichaa wa kuokota makopo
A hahaha haha wanawake wengine wanashida jamani du
hatareee... asante ONI SIGALA!Ufafanuzi wa malaya katika Kiswahili
malayaAsili
- 1
mwanamke au mwanamume mwenye tabia ya uzinzi.
Visawe
mlupo, mtalaleshi, guberi, changudoa, kiberenge, kahaba, kibiritingoma
- 2
mwanamke anayejiuza kwa wanaume kwa ajili ya kupata pesa.
Kar
Matamshi
malaya/malaja/
HATAREEKwa mujibu wa kamusi ya kiswahili
DANGA: 1: Tunda Bichi Ambalo Halijakomaa
2: Kijana Aliyepata Malezi Mazur
3: Hangaika Kutafuta Ki2 Ambacho Ni Amdimu - Dangia,dangiwa
SAWA MWANAMAMAMie si mwanamke ni mwanaume. Hapo unajidhirisha nati ilivyolegea
Itabidi uje kutoa mahari kwa mama yangu kingSAWA MWANAMAMA
UTASUBIRI MIAKA BUKU - ANAJIIMBIA GIGI MONEYItabidi uje kutoa mahari kwa mama yangu king
Sawa kidume cha mbegu ila acha kuchosha marinda yako kingUTASUBIRI MIAKA BUKU - ANAJIIMBIA GIGI MONEY
KINGE BABA KINGE KIMEPONZA WENGISawa kidume cha mbegu ila acha kuchosha marinda yako king
Funzo la kwanza: kuandika kwa herufi kubwa ni kupiga kelele katika mtandaoKINGE BABA KINGE KIMEPONZA WENGI
HUNA TOFAUTI NA MWENZIO JOTI HAPA KWA YOUTUBE
NENDA KASOME SHULE ACHANA KUKIMBIZANA NA WATU USIOWAJUA WENYE MAISHA YAO.. UTATIA AIBU MPAKA WANAWAKE WANAKUSHINDA MAISHA NA AKILI... MIAFANDE MINGINE BWANA SIJUI HAILIPWI VIZURI!
Hako nako kadanga kako au kiBen10honey 50thebe njoo mkamate mwizi wa kike huyu hapa!
Hako nako kadanga kako au kiBen10