swali:hivu jua linazunguka kwenye muhimili wake au limetulia

Boko haram

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
3,253
1,229
wana jf kunakitu kinanitatiza sana jua limetulia au na lenyewe linazunguka kwenye muhimili wake maana kuna mahali nimesoma inasema nalo linazunguka kwenye muhimili wake
 
Back
Top Bottom