Thomas Odera
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 670
- 149
mkuu unavituko kama huyo jamaa uliyemweka kwenye avatar yako duuu!hivi hiyo mikanda ya mazishi ikiisha wanaandika "the end" au wanaandika "to be continued"???? Auliza tu
Siku hizi watz tumeadvance. Tuna hata vikundi vya kukodiwa msibani ili kuja kukesha ' kulia'. How can U be able to cry for marehemu ambaye pengine U never ever met or knew?. Vipi kuna hata kampuni za mazishi tayari zina exist
Michango na gharama za matumizi ya shughuli za kijamii kwa siku hizi ni maajabu!
Mtu akiugua, watu wanavuta miguu sana kuchangia matibabu.Akifa ndio utashangaa budget zinatengenezwa na michango kuitishwa.
Kinachonishangza ni ile budget ya kupiga picha za video za tukio zima.Hii iko hadi vijijini!
Cha kujiuliza - hivi, watu hasa wafiwa huangalia lini hii mikanda na kwa kuangalia inamaanisha nini?
hivi hiyo mikanda ya mazishi ikiisha wanaandika "THE END" au wanaandika "TO BE CONTINUED"???? Auliza tu
Rekoding za msiba kama ilivyo for weddings etc, mara nyingi ni for "The record"
Kwamba ni video,it is just an updated way of "keeping records."
Hao wakujiliza wanakodiwa siku hizi!28-58 over[/QUOTE
28-58..., roger, confirm your password, over....,
Pole sana kwa kuondokewa na baba yako,je huyo unayemsindikiza kwenye avatar yako ni mke wa baba yako?Nalog offwakati wa maziko ya baba yangu (R.I.P. Mzee Izaki)
tulichukua mkanda wa video,
niliuangalia kama mara mbili, tena peke yangu kwa kuwa ukiuweka tu
hapo ndani wanaondoka wote kimya kimya,
matokeo ile video imeharibika,
kwa hiyo naona huu ni upotevu wa pesa tu,
ni vizuri kama una vipesa umpe hata huyo mgonjwa anunue juice.
Pole sana kwa kuondokewa na baba yako,je huyo unayemsindikiza kwenye avatar yako ni mke wa baba yako?Nalog off
Michango na gharama za matumizi ya shughuli za kijamii kwa siku hizi ni maajabu!
Mtu akiugua, watu wanavuta miguu sana kuchangia matibabu.Akifa ndio utashangaa budget zinatengenezwa na michango kuitishwa.
Kinachonishangza ni ile budget ya kupiga picha za video za tukio zima.Hii iko hadi vijijini!
Cha kujiuliza - hivi, watu hasa wafiwa huangalia lini hii mikanda na kwa kuangalia inamaanisha nini?
nashukuru mkuu,je? una undugu nao.Nalog offasante mkuu - nalog off.
kwenye avatar yangu ni mke wa obama na malkia elizabeth mkuu.
Mkanda wa mazishi ya baba wa Taifa wewe hujawahi angalia?
hivi hiyo mikanda ya mazishi ikiisha wanaandika "THE END" au wanaandika "TO BE CONTINUED"???? Auliza tu