Swali hili linahitaji majibu kwanini Shule Tanzania ni tatizo Miaka 50 ya Uhuru?.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kuna tatizo katika swala zima la shule za watoto wetu Nini shida hasa miaka 50 naushehe tunashindwa kujenga shule??
Nashukuru sasa hivi serikali ya Awamu ya Tano imelivalia njuga na inajitahidi kwa hili tuipe pongezi ila naona kuna tatizo katika mfumo wa utawala kuanzia chini.
Mfano ukiangalia watoto wetu wanakaa chini namna hii huku viongozi wanatembelea VX V8 inauma sana.
 

Attachments

  • Bukoba.jpg
    Bukoba.jpg
    81.1 KB · Views: 19
  • Nkasi shule.jpg
    Nkasi shule.jpg
    9.5 KB · Views: 15
  • Nkasi2.jpg
    Nkasi2.jpg
    135.1 KB · Views: 16
  • rwinga-namtumbo.jpg
    rwinga-namtumbo.jpg
    195.2 KB · Views: 13
  • Shule.JPG
    Shule.JPG
    182.8 KB · Views: 18
  • Tabora.png
    Tabora.png
    101.3 KB · Views: 15
Back
Top Bottom