baest JF-Expert Member Jul 12, 2015 273 168 May 25, 2017 #1 Habari wakuu, poleni na majukumu. Napenda kujuzwa juu ya firm tajwa hapo juu kama wameita waliopita katika mchujo wa aptitude test uliofanyika jumaosi iliyopita. Natanguliza shukrani sana. Usiku mwema
Habari wakuu, poleni na majukumu. Napenda kujuzwa juu ya firm tajwa hapo juu kama wameita waliopita katika mchujo wa aptitude test uliofanyika jumaosi iliyopita. Natanguliza shukrani sana. Usiku mwema
Elninho Elninho JF-Expert Member Oct 14, 2012 537 401 May 25, 2017 #2 baest said: Habari wakuu, poleni na majukumu. Napenda kujuzwa juu ya firm tajwa hapo juu kama wameita waliopita katika mchujo wa aptitude test uliofanyika jumaosi iliyopita. Natanguliza shukrani sana. Usiku mwema Click to expand... Ndiyo wameita.Oral interview ni Jumamosi ya keshokutwa.
baest said: Habari wakuu, poleni na majukumu. Napenda kujuzwa juu ya firm tajwa hapo juu kama wameita waliopita katika mchujo wa aptitude test uliofanyika jumaosi iliyopita. Natanguliza shukrani sana. Usiku mwema Click to expand... Ndiyo wameita.Oral interview ni Jumamosi ya keshokutwa.
baest JF-Expert Member Jul 12, 2015 273 168 May 25, 2017 Thread starter #3 Elninho Elninho said: Ndiyo wameita.Oral interview ni Jumamosi ya keshokutwa. Click to expand... Asante mkuu, je wameita wa post zote auditing na tax?
Elninho Elninho said: Ndiyo wameita.Oral interview ni Jumamosi ya keshokutwa. Click to expand... Asante mkuu, je wameita wa post zote auditing na tax?
L laki si pesa. JF-Expert Member Jul 14, 2015 10,003 9,750 May 26, 2017 #4 mshahara wao mdogo sana bora ujiajiri
baest JF-Expert Member Jul 12, 2015 273 168 May 26, 2017 Thread starter #5 laki si pesa. said: mshahara wao mdogo sana bora ujiajiri Click to expand... Umesoma habari yenyewe lakini? Au unataka ujaze makamasi yako humu
laki si pesa. said: mshahara wao mdogo sana bora ujiajiri Click to expand... Umesoma habari yenyewe lakini? Au unataka ujaze makamasi yako humu