Kilimpindua mkoloni muingereza aliekuwa anafaidi rasilimali za nchi yetu
mara nyingi tumekuwa tukiiongelea ccm katika hali mbalimbali ,ninafahamu ukitafuta historia ya ccm huwezi kuitenganiasha na tanu,katiba ya tanu imebeba madhumuni yote ya azimio la arusha ambalo ni azimio la utu swali,je unakuweje ccm inaitwa chama cha mapinduzi baada ya kukiuka misingi ya azimio la arusha misingi ya utu? au ni mapinduzi gani haya?
Kilimpindua mkoloni muingereza aliekuwa anafaidi rasilimali za nchi yetu
We eleza ni kitabu gani kinaelezea hayo mapinduzi ya ccm au tanu.maswali mengine nayo! ... kasome vitabu vya historia vya shule ya msingi utapata majibu... embu muwe serious bana
Serikari ya mapinduzi ya zanzibar ilipinduliwa na serikari ya Tanganyika, kisha tanganyika ikachinjiwa baharini ili kupoteza ushahidi.
Waliamua kukiita chama cha Mapinduzi huku kikiwa hakijawahi kupindua utawala wo wote. Ila kiliitwa Chama cha Mapinduzi ili kuwarubuni wa Zanzibar waitoe Afro-Shiraz Party yao kuingia ndani ya TANU. Pasipo kuweka neno mapinduzi ASP wasingeungana na TANU.
Kitendo cha ASP kuingia ndani ya TANU ndiyo ikakoleza mapinduzi. ASP na Wazanzibar wooote wakapinduliwa. Maamuzi yao na mustakabali wao utaamuliwa Dodoma-wakapinduliwa wazenj.
Hiyo ndiyo maana halisi ya Chama cha Mapinduzi iliyofichwa chini ya busati.
Serikali ya Mapinduzi ilipinduliwa na Chama cha Mapinduzi.
We eleza ni kitabu gani kinaelezea hayo mapinduzi ya ccm au tanu.
Wacha kuwa vuvuzela
Muda mwingine tumia kiswahili, inaonekana unakimudu kiasi kuliko kiingereza.
how {aim} {i} suppose{d} to remember .. shughu{l}isha ubongo wako we ndio mwenye shida... swali la jamaa ni home work ya wanafunzi wa darasa la tano na watalijibu vizuri tu , kuna baadhi ya maswali all you need is kufungua kitabu na utapata majibu! .. lakini unakuta mtu anakurupuka na kutupia thread ,,,
mara nyingi tumekuwa tukiiongelea ccm katika hali mbalimbali ,ninafahamu ukitafuta historia ya ccm huwezi kuitenganiasha na tanu,katiba ya tanu imebeba madhumuni yote ya azimio la arusha ambalo ni azimio la utu swali,je unakuweje ccm inaitwa chama cha mapinduzi baada ya kukiuka misingi ya azimio la arusha misingi ya utu? au ni mapinduzi gani haya?
Tuambie ni mabadiliko gani sasa wamefanya toka hiyo 1977.Neno "mapinduzi" kwenye jina la hicho chama halina maana ya "coup d etat". sio kama mapinduzi ya kijeshi. Kwa wakati huo wakati walipokuwa wanaunganisha TANU na ASP, kiswahili tu kilikuwa kinatatiza, lakini maana halisi ya neno mapinduzi kwa kiingereza ni "revolution". Na ndio maana kwenye lugha za watu chama hicho kinajulikana kama "Revolutionary party".