Swali: Anafikiaje maliwato?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1566549931793.jpeg
 
Ni sehemu ya kutupia uchafu hospitali
Sio choo hicho..
Vinakuaga hospitalini kwa ajili ya kutupia uchafu
Nimetoka kuoshea mikono hapo, hiyo pia ni kazi.

Hiyo sehemu inatumika pia maabara. Waliosoma Chemistry/Physics/Biology/Agriculture Sekondari wanazijua sehemu za namna hiyo maana lazima wamefanya majaribio kwa vitendo.

Ila kwa wale waliosoma shule za kata ambazo hazina maabara na hawakufanikiwa kusoma masomo ya sayansi kidato cha 5 na 6 hawawezi kuzijua hizo sehemu kiurahisi.

HKL= Hakuna Kuingia Laboratory(sio mimi nimesema, kuna mtu hapa kasema)
 
Asante mwanangu Mwifwa Leo nimesoma. Pamoja na kuchukua Science o level, hatukuwa na kitu kama hicho enzi zetu.
cc: sky eclat.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom