Swali: Anafikiaje maliwato?

Swali: Anafikiaje maliwato?

Komando mwenyewe kama mimi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]View attachment 1189043


Pale msukuma anapojaribu kupiga selfie huku akiwa hana hakika kama picha itatokea ama laah heheheheee

Eewaaah imetokea hihihihiiiii

NB: wasukuma ni binamu zangu tuna utani mwingi.
 
Choo ya JKT.
Nimetoka kuoshea mikono hapo, hiyo pia ni kazi.

Hiyo sehemu inatumika pia maabara. Waliosoma Chemistry/Physics/Biology/Agriculture Sekondari wanazijua sehemu za namna hiyo maana lazima wamefanya majaribio kwa vitendo.

Ila kwa wale waliosoma shule za kata ambazo hazina maabara na hawakufanikiwa kusoma masomo ya sayansi kidato cha 5 na 6 hawawezi kuzijua hizo sehemu kiurahisi.

HKL= Hakuna Kuingia Laboratory(sio mimi nimesema, kuna mtu hapa kasema)[emoji3]
Haaah 😆😆 HKL-Hakuna Kusoma Lakini🛌
 
Back
Top Bottom