Swala la Ulimboka kwa TBC sio habari!?

Swala la Ulimboka kwa TBC sio habari!?

Vijana ni lazima tuamke,jamani inabidi tuikomboe nchi yetu, ni lazima tumuunge mkono mkombozi wetu Dr Ulimboka, get well soon Man. Hawa wanaojilimbikizia mali kwa njia ambazo sio halali ni lazima wajilinde hata kama yatagharimu maisha ya watu wenyewe wanaangalia masrahi yao. kwahiyo vijana na wana harakati ni lazima tujue hawa jamaa kutuachia nchi yetu sio kirahisi rahisi tu. Mungu atusaidie na awasamehe kwa sababu hawajui walitendalo.
 
Wa2 wengne mnamatatzo,haina maana yakuwa member wa jf.bado 2 mnaangaliaga chanel ya wadhaifu juu ya habar,ujue nany mnataka kuwa dhaifu,LIWALO NA LIWE sitaangalia habar kwenye chanel dhaifu.
 
Inabidi wananchi tutangaze kwamba hii TV siyo yetu tena bali ni ya ccm na watu wake kwa hiyo isitishe kuchukua kodi zetu bali wanaoitumia waihudumie kwa faida yao wenyewe kwani sisi haina faida kwetu. Bila aibu bila kufikiria wameonyesha udhaifu wa hali ya juu kiasi kwamba inaonyesha kabisa na wao wanaungana na serikali yao kuendeleza unyanysaji na udhalimu wa haki za binadamu. Tusikubali wananchi tuwakatae TBC hata vin'gamuzi vyao tuviwekee mgomo wanunue wao na serikali yao ya ccm kwa faida yao wenyewe
 
Wa2 wengne mnamatatzo,haina maana yakuwa member wa jf.bado 2 mnaangaliaga chanel ya wadhaifu juu ya habar,ujue nany mnataka kuwa dhaifu,LIWALO NA LIWE sitaangalia habar kwenye chanel dhaifu.

ndg, tunatumia startimes tutafanyaje sasa kama ujuavyo kuna chanel chache 2 za habari ndani ya king'amuzi hcho
 
Jamani mbona wametangaza na nchimbi akaongea. Mara mnasema mlishaacha kuangalia TBC1, mara hawaoneshi, mnajuaje sasa.
nimeangalia mpaka habari za kitaifa zilipoisha na kama wemeirusha hiyo habari ni baada ya watu kuanza kulalamika hapa kwenye jf.
 
ina pain sana ila hatima ya Tanzania tuitakayo iko mikononi mwetu.

Ni kweli Mwea iko mikononi mwetu......sijui kwanini hatuchukui maamuzi magumu mpaka sasahivi.....mie naamini tukiamua tunaweza
 
Last edited by a moderator:
Muda mfupi uliopita nimemtaza live dr. Ulimboka on clouds tv jinsi alivyopata na mkasa huo, jamani imeendelea kuniumiza.
 
Sitashangaa viongozi wa serikali wakienda kumsanifu hospitali kwa kujidai wanaenda kumjulia hali kumbe wanajua walichopanga kumfanyia.

Lord have mercy.

Mnafiki mwambie ukweli juu ya unafiki wake,
wakisogeza pua zao tu wanatakiwa waambiwe hivi "Mmeshindwa kumuua sasa mmeamua kuja kujisafisha?rudini mkajipange upya wauaji nyie"
hakuna kufichana
ila me nalia na Pinda tu.
"LIWALO NA LIWE"
 
Mnafiki mwambie ukweli juu ya unafiki wake,
wakisogeza pua zao tu wanatakiwa waambiwe hivi "Mmeshindwa kumuua sasa mmeamua kuja kujisafisha?rudini mkajipange upya wauaji nyie"
hakuna kufichana
ila me nalia na Pinda tu.
"LIWALO NA LIWE"

anayeua albino nae auwawe

zanzibar siyo nchi

liwalo na liwe


huyu ndiye pinda na kauli zake.
 
anayeua albino nae auwawe

zanzibar siyo nchi

liwalo na liwe


huyu ndiye pinda na kauli zake.

Zimepinda kama jina lake lilivyo.....mtu mzima eti liwalo na liwe.....hana haya huyu baba!
 
anayeua albino nae auwawe

zanzibar siyo nchi

liwalo na liwe


huyu ndiye pinda na kauli zake.

Halafu anajiita mtoto wa mkulima,
bila aibu kabisa mbele ya kadamnasi,
yaani leo nimechefuka sana roho yangu.
 
Back
Top Bottom