Swala la Ulimboka kwa TBC sio habari!?

Wananchi wanakufa mahospitalini kwa sababu ya ulimboka hamsemi, ila yeye kupigwa kidogo tu na watu wenye hasira kali mnapiga kelele keleleeeee
we dume la maksai lakuvuta kokoteni mkuu kuna kila dalili utanitumbukiza kwenye ban
 
Shida,nidhamu na juhudi katika kupata fani si wote wanaoshughulika nayo ila tunashughurika na matokeo tu. Pole sana Dr Ulimboka
 
wakuu tangu nimepata taarifa za kujeruhiwa vibaya kwa kiongozi wa madaktari nimeona star tv na itv wanatoa mara kwa mara kwenye habari kwa ufupi lakini hii tbc hiyo siyo habari nimeangalia taarifa zao mbili mchana huu habari kwao ni tamko la selikali juu ya mgomo huo hapo kesho hawa wehu wanamfanyia nani kazi?

nawasilisha
Hata wasipotangaza haina impact. Kituo cha maghamba hawa jipya zaidi ya kumsifia kilaza JK eti dr na ile hali yeye ni 0
 
Wananchi wanakufa mahospitalini kwa sababu ya ulimboka hamsemi, ila yeye kupigwa kidogo tu na watu wenye hasira kali mnapiga kelele keleleeeee
Wananchi wenyehasira kali si wanafiki au wachawi kufanya kazi usiku wa manane wao mchana kweupe (mfano wanavyomshughulikia mwizi). Taja alternative nyingine usiwasingizie heri unyamaze tu, isije laana yao ikakuangukia.
 
Sisi tulishaacha kuangalia TBC siku nyingi. Na pia tulishawaambia ma Sponser waache kusponser TV pumbavu, nafikiri hawana muda watakufa kama mashirika mengine yaliyokuwa chini ya CCM na serikali yake. Vilevile mbona Issa Michuzi Blog inatuwekea Birthday na Malibeneke?
Tatizo halipo kwa Tv TBC tu ambayo cha kusikitisha ambayo inaendeshwa kwa kodi zetu,lakiniinasikitisha ya kua kunabaadhi ya blogs zinazojihita za jamii kama MICHUZI ambayo imekua kimya kwa tukio hili na baadaye inakuja na taarifa ya kamanda Kova MICHUZI: KAMANDA KOVA AZUNGUMZIA KUTEKWA KWA KIONGOZI WA MIGOMO YA MADAKTARI, DK. STEVEN ULIMBOKA nimaajabu katika tasimia ya habari tukio lilotokea kimya lakini katika hatua ya kutoka serikani inawekwa katika blog.Mwenyekiti ieleweke sio wote wanao tembelea tovuti zingine hivyo kututendea haki ingelikua vyemakama ungelituwekea historia fupi ya tukio lenyewe kabla ya kutuwekea jibu la Kamanda kova .
 
  • Thanks
Reactions: PPM
Current news kama hii kila media imeripoti kuhusu utekaji huu na unyama aliofanyiwa dr. Ulimboka lakini why Tbc hamjaripoti kulikoni? Kunani nyuma ya pazia?
 
Nimeshtushwa sana na kitendo cha TBC kutotangaza mkasa uliompata Dr Ulimboka! Kwangu mimi ni sawa na TBC kumpiga Dr Ulimboka kwa mara ya pili baada ya hao walimtesa huko Mabwemapande. Sijui kama nitaangalia habari za TBC tena baada ya uhuni wa leo.
 
Mwanajamii wewe inaweza kuwa kidogo mimi ndo imenisikitisha kupita maelezo, nimchukia why niliamua kuwa na king'amuzi cha startimes.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wametangaza kuwa 'eti' serikali imeahidi kuwachukulia hatua 'baadhi ya madaktari' waliogoma hapo kesho siku ya alhamisi. Kwenye katiba yafaa tuombe TBC isitumie pesa za watanzania walipakodi labda ipate pesa kutokana na makato ya mawaziri na wakuu wa idara za serikali ambao ndo wanaitumia kufikisha ujumbe usiohitajika kwa watanzania wengine. Ogopa TBC sawa na homa ya mapafu. Inasikitisha sana kuona aina ya taarifa zilizotolewa wakati inajulikana Dr. Ulimboka ameumia vibaya sana. Hii ni aina nyingine ya hakikisho kuwa Dr. Ulimboka kaumizwa kwa mkono wa serikali vinginevyo wasingefanya 'sensoring' ya taarifa juu yake. TISS on work!
 
naunga mkono hoja.
 
hii inaonyesha shahir dhahir serikali inahusika haswa polisi pia. angalia lile tukio la yule SHUSHUSHU ambae mzushi Kova amejikanyaga kusema kwamba yule hakua shushushu wa UWT ila ni askari polisi mpelelezi!. wangemdedisha tu pambaf zake.
 
ile ngumi aliyopigwa yule jamaa imenifurahisha.
 
Back
Top Bottom