Rwamuhuru Member Dec 22, 2010 50 0 Jan 25, 2011 #1 Kuna rafiki anauza gari lake aina ya suzuki vitara escudo. Ni Spaniards waliomaliza term yao ya ajira Tanzania na wanataka kurudi kwao Spain. Unaweza kuwasiliana kwa namba zao (wanajua kiswahili vizuri) Attachments CAR FOR SALE.pdf 1.1 MB · Views: 238
Kuna rafiki anauza gari lake aina ya suzuki vitara escudo. Ni Spaniards waliomaliza term yao ya ajira Tanzania na wanataka kurudi kwao Spain. Unaweza kuwasiliana kwa namba zao (wanajua kiswahili vizuri)
mama D JF-Expert Member Nov 22, 2010 19,760 35,205 Jan 25, 2011 #2 sema bei ngapi?? weka mambo hadharani...........
Rwamuhuru Member Dec 22, 2010 50 0 Jan 25, 2011 Thread starter #3 mama D said: sema bei ngapi?? weka mambo hadharani........... Click to expand... Bei iko very negotiable...so just call them na mzungumze
mama D said: sema bei ngapi?? weka mambo hadharani........... Click to expand... Bei iko very negotiable...so just call them na mzungumze
RealTz77 JF-Expert Member May 18, 2009 738 40 Jan 25, 2011 #5 kaka asante tutajaribu kucheck nao kwa wenye uhitaji am sure!
Babu Lao JF-Expert Member Nov 2, 2010 2,043 179 Jan 25, 2011 #6 Kanavutia, lakini ni vizuri mtu akijua bei yake ili ajue kama anauwezo hata wa ku-negotiate au la!!
Easymutant R I P Jun 3, 2010 2,564 1,129 Jan 25, 2011 #8 Rwamuhuru said: Bei iko very negotiable...so just call them na mzungumze Click to expand... Negtiable kuanzia kiasi gani?
Rwamuhuru said: Bei iko very negotiable...so just call them na mzungumze Click to expand... Negtiable kuanzia kiasi gani?
Candid Scope JF-Expert Member Nov 8, 2010 11,890 6,899 Jan 26, 2011 #9 Mwammbie aioshe kwanza, maana matairi yalambishwa ule udongo mwekundu na kwa vile unafanana na rangi ya gari ngoma draw.
Mwammbie aioshe kwanza, maana matairi yalambishwa ule udongo mwekundu na kwa vile unafanana na rangi ya gari ngoma draw.
Madela Wa- Madilu JF-Expert Member Mar 24, 2007 3,062 731 Jan 26, 2011 #10 Candid Scope said: Mwammbie aioshe kwanza, maana matairi yalambishwa ule udongo mwekundu na kwa vile unafanana na rangi ya gari ngoma draw. Click to expand... Hata akiiosha itachafuka tena barabara za lami urefu mail 100 zilizo baki vumbi au umesahau ndugu yangu?
Candid Scope said: Mwammbie aioshe kwanza, maana matairi yalambishwa ule udongo mwekundu na kwa vile unafanana na rangi ya gari ngoma draw. Click to expand... Hata akiiosha itachafuka tena barabara za lami urefu mail 100 zilizo baki vumbi au umesahau ndugu yangu?