Suzuki swift M13a

Suzuki swift M13a

MATEO GODFREY

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
54
Reaction score
89
Habari wadau
Ninachangamoto zifwatazo kwenye Suzuki swift M13a naomba ushauri tafadhari
1.kuwaka kwa tabu Asubuhi mpaka nikanyage accelerator Kwa muda 2.nikiwasha AC gari inatingishika na kuzima nikiwa nimepaki,
3.Engine inatoa ngurumo mkubwa kama land cruiser
4. Inatembea umbali mrefu bila kukanyaga mafuta na hata kuchanganya kiasi
 
Hadi sasa wewe umefanya nini?

Services ya mwisho ulifanya lini na nini?
 
Fuel pump imeisha hiyoo..badili then uone kama Kuna mabadiliko
 
Badilisha gari kama hela ipo. Gari halitakiwi kukutesa hivyo! Ila wewe ndiyo unatakiwa kulitesa kwa kupigia misele kadiri upendavyo, nk.
 
Swift matatizo yake yanafanana tuu nimetoka kupambana na kama hiyo wik iliyopita,kama upo Dodoma tuwasiliane
 
Hadi sasa wewe umefanya nini?

Services ya mwisho ulifanya lini na nini?
Nimemwaga oil juzi sasa naona kuja mabadiriko kidogo maana gari imekuwanyepesi Leo imewaka bila mtikisiko na kelele nimegundua zinatoka kwenye radiator fan inawaka direct na alternator belt ilikuwa imeisha so nimebafirisha now gari imechangamka kiasi
Japo Kuna sehem naona oil inavuja kwenye engine ni kama imewekwa kilaka kidogo
 
Back
Top Bottom