iko katika hali nzuri
manual 5 gear 6 reverse
kwa mnunuaji aliye serious
mawasiliano 0716505153
Sent using Jamii Forums mobile app
manual 5 gear 6 reverse
kwa mnunuaji aliye serious
mawasiliano 0716505153
Sent using Jamii Forums mobile app
iko katika hali nzuri
manual 5 gear 6 reverse
mawasiliano 0716505153
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauza sh ngapi?iko katika hali nzuri
manual 5 gear 6 reverse
kwa mnunuaji aliye serious
mawasiliano 0716505153
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzako tuko huku
View attachment 1042579
kuna mawasiliano hapo kama uko serious nichekiUnauza sh ngapi?
Uko mkoa gani?
Ni ya mwaka gan?
Picha iko wapi?
Ya kwako au we ni dalali?
Inarangi gan?
Inadaiwa au haidaiwi?
Naomba uboreshe tangazo lako mkuu
Weka details mkuu, ata mtu akikufata mnamalizana anyway ngoja nikucheki hewan
Jibu swali wewe ni dalari au ya kwako tatizo madalari mna tamaa sana
Jibu swali wewe ni dalari au ya kwako tatizo madalari mna tamaa sana
Madalari wa siku hizi wengi mmesoma mnatumia Kingereza kujificha km sio madalarifor serious buyer will go through the contact and not bother on the ownership.
kindly go through the contact for more details
thanks
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaha umenifuraisha sanaMadalari wa siku hizi wengi mmesoma mnatumia Kingereza kujificha km sio madalari
Unaonaje tukakuwekea Namba zetu utupigie wewe kila mtu umuambie bei? Maana umeweka tangazo lisilokuwa na bei!
Acha porojo wewe Dalali mm Nina kithembe weka bei punguza manenohahahahaha umenifuraisha sana
ila we ata icho kiswahili haujui sio dalari ni dalali
unamatatizo ya r na l kwenye kiswahili chako rudi shule kama umri unaruhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
kithembe had kuandikaAcha porojo wewe Dalali mm Nina kithembe weka bei punguza maneno
Dalali msomi huyoMadalari wa siku hizi wengi mmesoma mnatumia Kingereza kujificha km sio madalari
Chuma mthupuuJimny Ni Chuma Cha Germany