I may be too late to this uzi but usually to aviod 'emotional' problems,
- surrogate anakuwa unrelated to bio-mother(BM) so akijifungua anasepa zake.
- IDK how bio-mom anabond na mtoto tumboni so i cant comment there.
- kuna professional surrogates for hire so hii pia inaweza kusaidia kwenye coping, hawa huwa kind towards BM na the experience huwa +ve for everyone involved
- ni vizuri SM akiondoka soon as it may confuse mtoto psychologically. hawezi kuelewa tofauti ya SM na BM na the whole procedure etc
Ujue hii issue mnaichukulia kirahisi rahisi hivyo eeeehhh? Hivi kuna mwanamke aliyetayari kubeba mtoto wa mtu kwa miezi 9 na changamoto zote za ujauzito na uchungu wa kuzaa embu acheni masihara nyie
Hii huduma itaanza kuhitajika zaidi
Ukiachia mbali wenye matatizo ya kiafya wasioweka kubeba mimba
Je, haiwezi kutumika kwa watu walioathirika na magonjwa kama HIV ili kuokoa maisha ya mtoto zaidi??
Provided wataalam wakithibitisha sperm na yai la mwanamke havitamwambukiza surrogate mother magonjwa husika?
EMT, njoo unisaidie hapa
IDK how safe IVF is kama mmoja wa donor ni hiv+, but interesting that umeiongelea. uamuzi wa kesi kama hizo hufanywa depending on the exact case. pia inategemea life expectancy ya hiv+ person if ARV zitamgomea soon,legal rights etc, that can be grounds for disqualifications. it's too complicated to generalize for these cases.insight on HIV status and surrogacy
Swali lako linafaa kujibiwa na watu kama Riwa. Sana sana mimi nisiye mtaalamu wa hayo mambo, nitakupa tuu mfano mmoja hai kuonyesha kuwa swali lako halina jibu la moja kwa moja.
Kuna clinic moja huko Marekani ilikataa kusaidia type yoyote ya surrogacy kwa gays. Gays wawili (partners) walikuwa HIV-positive. Mpango wao ulikuwa ni ku-fertilise an ovum off a female with sperms kutoka kwa mojawapo wa hao gays and then implanting that within a female ambaye alikuwa tayari ameshakubali kubeba huo ujauzito.
Clinic ilikataa kuwasaidia. Hao gays walipinga uamuzi wa clinic on logical grounds. Walisema kuwa kulikuwa hakuna utafiti ambao ume-document cases za HIV-positive sero-conversion within the recipient of the gametes off HIV-positive donors.
Pia walipinga uamuzi wa clinic kwa kuwa walikuwa na ushahidi kuwa huyo mwanamke alikuwa amekubali kuubeba huo ujauzito na alikuwa anajua kuwa hao gays ni HIV-positive. Japokuwa bado clinic hiyo ilikuwa ina-offer assisted conception to both the HIV-positive discordant gay couples and the ame-sex couples, hao gays wawili walikataliwa ku-undergo this procedure.
Argument ya clinic ilikuwa kuwa those superseding ethical concern kwa kesi kama hizo ni kumlinda huyo mwanamke aliyetaka kuubeba huo ujauzito kuambukizwa na ukimwi.
Assumption ilikuwa kuwa risk ya huyo mwanamke kuwa infected na HIV ilikuwa zero bila ya surrogacy contact, or implantation of the fertilised egg. Hata hivyo, kama due care ingeweza kuchulikuwa kupunguza risk of this unsual HIV transmission, clinic ingeweza ku-eliminate risk ya surrogate woman kuambukizwa. Hata hivyo, ethics committee ya clinic ilitupilia mbali hizo assumptions kwa kuunga mkono uamuni wa clinic.
kwa hiyo ni ngumu kutoa verdict kama surrogate mother should carry an egg from an infected woman. Nafikiri uamuzi wowote utategemea na ethics za wahusika mwenyewe. Kwa hiyo, watu wanaweza kuwa na views tofauti kuhusiana na hili.
Kwa mfano, wakati hii kesi ya hawa gays ikiendelea, kuna mwanamke mmoja alisema kuwa wakati akiwa na miaka 13, alijikuta kuwa alizaliwa bila uterus. Alipofikia umri wa miaka 19, her initial sexual encounter was a horror pale alipogundua kuwa the sex made her HIV positive. Miaka miwili baadae aliolewa na mwanaume who happened to be a great person. Aliamini kuwa amekutana na mtu ambaye angem-consider kama life partner. Pamoja na kuwa HIV positive, she found her love.
Sasa fikiria mwenyewe kama anaweza kumpata a surrogate mother ambaye atataka kumbebea mtoto huku akijua ni HIV positive. Wewe utakuwa tayari? Sujui BADILI TABIA na Kaunga?
Asante kwa melezo mazuri
Itabidi Riwa uje unieleze kwa kirefu
Wanavyotuambia, mtoto haambukizwi akiwa tumboni bali wakati wa kujifungua, inakuwaje hapa?
Nilidhani hata kama wazazi wote wawili ni HIV +, mayai yao hayatakuwa na VVU?
Nilidhani, kama mama ambaye ni HIV+ anaweza beba ujauzito na kujifungua salama, kwa nini surrogacy ishindikane??
Angalizo, nilikimbia biology darasa la 2
Ujue hii issue mnaichukulia kirahisi rahisi hivyo eeeehhh? Hivi kuna mwanamke aliyetayari kubeba mtoto wa mtu kwa miezi 9 na changamoto zote za ujauzito na uchungu wa kuzaa embu acheni masihara nyie
angalia Biance wa Isidingo ITV anavyoteseka psychologically anapofikiria kumuacha mtoto baada ya kujifungua. Being surrogate kwahitaji moyo wa chuma.
lakini si utaandaliwa psychologically?
mh unaandaliwa lakini sometime mawazo yanakunyemelea.
IDK how safe IVF is kama mmoja wa donor ni hiv+, but interesting that umeiongelea. uamuzi wa kesi kama hizo hufanywa depending on the exact case. pia inategemea life expectancy ya hiv+ person if ARV zitamgomea soon,legal rights etc, that can be grounds for disqualifications. it's too complicated to generalize for these cases.
ni kweli ndugu ndo maana inahitaji strong woman ambaye anajua complications za mimba na yuko tayari kuzikabili. Na nilazima awe ameandaliwa kwa muda siyo leo unamwambia aafu mwezi ujao mnafanya. Hii kitu medically inawezekana kwani ni kama ivf au artificial insermination. hapa umesema kweli, sio kitu cha kuchulia kimzaha hasa ukiangalia tabu anazopata mjamzito na effect yake kwa maisha yako binafsi. the surrogate has to follow maagizo ya bio-parents na hii huleta complications. Kwani kuna surogacy ambayo mama atakayebeba mimba anajitolea yai lake na mbegu ya mumu wa mwanamke anayetaka mtoto hutumika. most difficult kwa kweli hasa ukiangalia BM/SM anamwacha mwanae akishazaliwa. she can legally 'change her mind' na 'kuwaacha kwenye mtaa' sipendi hii unless hakuna other option au huyo mama anayetaka mtoto hawezi kutengeneza mayai yake kabisa. Pia nyingine mbegu na yai hutoka kwa intended parents na kuwekwa kwa mama mwingine, most recommended, akishazaa anasepa zake au mbegu kutoka kwa donor pia mbegu na yai vinatoka kwa donors its best kama donors ni anonymous that way baadae hawataweza kuja na kutaka kumwona 'mwanao'. Medical conditions allows ila sheria za mahali hapo je, zinaruhusu? sina uhakika na sheria hapa TZ, we need a legal aid to assist Pia kuna mambo ya kidini, kijamii na kisaikolojia nayo yana upande wake kwa jamii husika. Kwani hata ivf tz inapigwa sana vita na dini ambazo zingine hata family planning hukataza. watu wa dini hupinga anything 'artificial', wanasema mtoto ni zawadi from God hivyo utampata Mungu akipenda, hiyo ni test ya uvumilivu, mtoto wa IVF sio mtoto 'halisi' nk. kuna baadhi wanaweza ku-unga mkono kama mmoja wao ni hiv+ lakini it's very difficult for them kukubali Tuulize wanasheria, tz inaruhusu vitendo hivi? nimesikia kuna ivf clinic TZ lakini sijui kama inafanya surrogacy
answers in red, umeleta nice argument.hakuna anayejua lini atakufa hivyo huwezi kumzuia kufanya yale anayoweza kuyafanya. Tungekuwa tunafikiria hivyo basi wote hiv+ wangefanyiwa btl na vasectomy. its true lakini kwenye ile post @EMT aliongelea gay couple ambao pia ni hiv+ so kuna hofu katika mamlaka husika kama wangeweza kulea mtoto na kumaintain afya zao We have to start thinking kwamba will this be the best or worst? what's best or worst sio rahisi kung'amua kwenye situations kama hizi. surrogacy, ivf, hiv+, gay parents ni simple cases zikiwa separate lakini ukiziweka zote kwenye same place inakuwa tabu kidogo Mpaka sasa nimeshuhudia wagonjwa walokuwa kwenye hali ya hatari wamerudi vizuri kwa kufuata masharti yanayotakiwa na wanafanya maendeleo mpaka utatamani. Ila nimeshuhudia vijana wengi wazima wakifa kwa ajali na uzembe na kuacha watoto yatima. true that
answers in red, umeleta nice argument.
angalia Biance wa Isidingo ITV anavyoteseka psychologically anapofikiria kumuacha mtoto baada ya kujifungua. Being surrogate kwahitaji moyo wa chuma.