Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,676
Mamndenyi watoto wanataka niwape peaches and cream, sasa mi kuanzia elimu ya msingi nasomea chini ya mpapai, ntavijulia wapi hivyo vishikolo vigeni?
Yaani juzi ndio nimejua kuwa sio matotosi, ni tomato source.
Kazi ninayo
Job true truepole sana
ndo ya kidigitali ujue
Umekimbilia nini sasa?
Mnapenda sana udaku badala ya kujifunza.
Hebu gonga hapa ujionee bonge la Surabaya
Surabaya - Wikipedia, the free encyclopedia
ladyfurahia mbona umetepeta ghafla??mambo gani yamekupata kaka yangu tena?
kwa heriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Surabaya usiku
Tandale kwa Tumbo na ile harufu ya kinyesiusiku kama darisalama....
Nilikutana na jamaa wako na majembe yao wanachimba, nikauliza mnachimba nini pembeni ya barabara, wakasema wanachimba gesi.Nini hicho umeota mpaka una furaha hivyo....gas imebaki Mtwara au?!