Sura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sura

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by KARIA, Aug 9, 2012.

 1. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sura sio roho wajameni! Kuna jirani yangu handsome kinoma lakini ni katili hakuna mfano, ana wivu sijapata kuona! Mke marufuku kutoka nje! Asubuhi anafagia uwanja anaenda zake viwanja akirudi akikuta alama ya viatu mke ajieleze! Inasikitisha sana!
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Nafikiri ana act movie huyo!
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hajui mapenzi! Ndo maana wakati mwingine tunashsuriwa kuchunguza kwa makini sana mahusiano uliyonayo kabla ya kufikia maamuzi ya ndoa!
  What I blv ni kwamba kwa mwanamke Kama huyo ndoa ishakuwa adhabu badala ya kuifurahia! Nwy, kila abiria atabeba furushi lake mwenyewe!
   
 4. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Anishindi mimi mke natembea naye kwenye buti ya gari amna kumuona mtu
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  lolest!
   
 6. Anne Maria

  Anne Maria JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ndoa ndoana sasa hiyo
   
 7. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  inawezekana mume wake na wangu ni watoto wa baba mmoja
   
 8. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wivu ni kidonda ukishiriki utakonda
   
 9. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Huo u handsome umeupima kwa kigezo kipi mkuu?
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Sasa mbona 'you are ever smiling'?
   
 11. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Amekubaliana na mazingira halisi!
  Haimpi shida coz keshaadopt!
   
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Tabu haina mazoea mkuu.
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wanawake wengine usipowafanyia hivyo huwa hawana raha katika ndoa lakini anapofanyiwa hivyo ndio anaamini kuwa anapendwa....
   
 14. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mapenzi ya hivyo yamepitwa na wakati, bidada anachungwa hadi kero!!
   
 15. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hw are u?
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mtu na chake , mjue ?
   
 17. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa civilized pipo huo ni utumwa kabisaaa hawana haya eeh hebu aache bana roho yake chafuu
   
 18. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Abiria chunga mzigoo wako mmmh asante hunie
   
 19. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,720
  Likes Received: 8,270
  Trophy Points: 280
  Iyo mbona ize..unaingia ukitoka na ww unafagia...kalagabaho yeye.
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Mapenzi hayapitwi na wakati,ni yaleyale sisi tunarudia tu,juzi nimemtembelea rafiki yangu Chacha Marwa nafika tu mlangoni hata bado sijagonga,nasikia wanaongea, umbea ukanishika nikasubiri kidogo nijue wanasema nini,namsikia shemeji anamwambia Marwa Mume wangu siku hizi hunipendi yaani toka mwezi uliopita hata makofi hujanipiga..sasa huyo naye labda ndio njia ya kumuonyesha mke wake mapenzi....
   
Loading...