ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Hata akina dada masista duu siku hizi nao majambaka. Ukimkuta ka shine wala huwezi kumdhania!
!
Majambazi wengine mabrazameni tu ila ukimkuta kazini balaa
Hahaha nimeipendaAngalia avatar yako
huyo wa kwenye avatar yako nayeye ni JambaziAngalia Bongo Movie MAJAMBAZI WALIVYO.
1.WANAVAA MAKOTI MAREFU.
2.WANAVUTA SIGARA.
3.WANAVAA MIWANI.
4.WANA KUNJA SURA ZIONEKANE NGUMU/NZITO.
Najua waliitwa Majambazi kwa tabia zao mbaya za kupora watu kwa kutumia silaha ndio maana jina lao bayaa!!....Hivi MAJAMBAZI WANA SURA GANI? Yaani wanafananaje? Ni mijituu mikubwa mikubwa yaani Minjemba Au ipoje ipoje? Utasikia watu wasio julikana! Hivi hao wasio julikana Wapoje
Msaaba Tafadhari mwenye sura Za Majambazi anisaidie .....nilikuwa nawasikia toka nikiwa mkoani kijijini ...nilitamani siku kuja kuwaona wanavyo onekana lakini nimekuja mjini hadi leo sijawahi kuowaona kwa Macho majambazi hivi hawa watu wapoje wapoje eti?
Hahahahahshmajambaz wamegawanyika ktk makundi tofauti;
wanawake wanaowachuna wanaume nao n majambaz
wafanyakaz wanaogushi malipo nao n majambaz
wanaovamia na kupora kwa kutumia silaha nao n majambaz
wanaochaguliwa ili kuwakilisha wananch bungen na wanafanya mambo yao nao n majambaz
waongo na matapeli nao n majambaz. n.k
maana yangu sasa majambaz hawana sura moja wao huwa na sura na mionekano tofauti kulingana na matukio wanayotaka kufanya.