ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Najua waliitwa Majambazi kwa tabia zao mbaya za kupora watu kwa kutumia silaha ndio maana jina lao bayaa!!....Hivi MAJAMBAZI WANA SURA GANI? Yaani wanafananaje? Ni mijituu mikubwa mikubwa yaani Minjemba Au ipoje ipoje? Utasikia watu wasio julikana! Hivi hao wasio julikana Wapoje
Msaaba Tafadhari mwenye sura Za Majambazi anisaidie .....nilikuwa nawasikia toka nikiwa mkoani kijijini ...nilitamani siku kuja kuwaona wanavyo onekana lakini nimekuja mjini hadi leo sijawahi kuowaona kwa Macho majambazi hivi hawa watu wapoje wapoje eti?