Huyu Iyanya kama hatumii madawa basi ana matatizo..
Kuna video alikuwa anahojiwa na dada mmoja Nigeria...anaongea kama teja...
Toka nione hiyo video nimemuwekea mkasi...mpaka nikamhurumia Ivon...maana alikuwa anahojiwa kwa nini wameachana...
Alibugi sana...