Sura yako muzuri mamaa


jamaa awamefanya poaa sana yaani
 
Kwa hiyo uzuri wa mwanake ni sura au tabia. Hata kama akiwa na sura kama malaika lakini akawana tabia mbovu hana lolote.

huu ulimwengu wa burudani joo
stop HATING START LOVING good staffs
 
yaani nzuri sana kwa harusii
sio lazima KWAITO KILA HARUSI

kaaah!! kwaito zimenichosha hatari, hv hakuna kingine? huu wimbo mie siuchokagi alafu napenda nikiutazama basi nidance na mimi, burudaniiiii
 
Kwa hiyo uzuri wa mwanake ni sura au tabia. Hata kama akiwa na sura kama malaika lakini akawana tabia mbovu hana lolote.


hii imekaa kiburudani zaidi, japo uzuri wa nje ndio huwa unawavuta kwanza then hayo mengine hufuata
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…