Sura halisi ya marehemu Kinyambe

Sura halisi ya marehemu Kinyambe

f2c6867c027f42aa9dcc7348f69f6594.jpg
HAHAHA KUSAKA PESA KULIMUHARIBU HUYU JAMAA KUMBE NI HANDSOME TUU NIMEJIKUTA NACHEKEA KEYBOARD HAHAHAHAH
 
We si umewambia wenzio wapenda ujinga sa unataka clip ya nini..usiwe unajikweza wakati na wewe ni apecha alolo
Ah Wengine hupata umaarufu wakisha ndei... so ndio nimetaka kumtathimini tu...
 
nimefurah sana kumuona sura yake og nlikua namkubali sana mshikaji RIP kinyambe
 
Back
Top Bottom