Sura halisi uonekana pale unapoamka

pipikijiti

JF-Expert Member
Apr 25, 2017
309
406
32b18ad3903e0ca7fd290994bbbef5bd.jpg
chibu himself
11052026ac0aeed0cef26d3042bf93dc.jpg
 
Kabla ta kufanya maamuzi ya kumuoa mdada yeyote fanya mbinu uione sura yake ya asubuhi la sivyo unaweza mkataa siku baada ya ndoa asubuhi.
 
Hivi kwanini siku hizi watu hawatoki matongo tongo kama zamani?
mashuka yalijaa vumbi
sakafu hazikusafishwa
ukifunga madirisha bado kuna nyufa hivyo upepo ukipuliza taka zinaingia ndani utaachaje kutoka tongotongo?

lakini saiv kuna vitu mnaita sijui 'jibsamu', 'aluminiamu', vigae vya kwenye sakafu hilo jicho litachafuka sa ngapi?
 
Hivi kwanini siku hizi watu hawatoki matongo tongo kama zamani?
Matongotongo zaidi yalikuwa kwa watoto. Hasa watoto wanaocheza kwenye vumbi. Sasa hivi hata vijijini watoto wengi hawachezi tena kwenye vumbi.

Matongotongo ni njia ya macho kujisafisha na kuondoa uchafu wa vumbi au maambukizi ya macho.

Zamani mtoto unachafuka mpaka unajiogopa. Unavizia giza ndo urudi nyumbani umechelewa ili usiogeshwe
 
Back
Top Bottom