Suprise nyingine hazifai...


Nimeacha mambo ya wanawake bana baada ya kumpata nanannhii.
Hata hivyo naona majority ya wadau wamemshauri vizuri tu.
 
mmh mwenzako kama anataka kusepa ivii, ila kwa kuwa una iman embu muweke kwenye maombi lol, itakuwa pepo limemuingia.
 
mmh mwenzako kama anataka kusepa ivii, ila kwa kuwa una iman embu muweke kwenye maombi lol, itakuwa pepo limemuingia.

imani bado ninayo, ila yeye ndio anatakiwa afunguke. Na kuniambia yaliyo moyoni mwake, ila kukaa kimya kunazidisha maumivu.
 
Mh!surprise ya kuzimiwa cm uck mzma..pole sn.ila kaa nae na umhoj yalyo moyn mwke.nna iman atakueleza..
 



hivi watu wengine mbona hivi? hapa kuna nini kigumu kujua kwamba there is something goin on behind the scene? Hakuna suprise za kuzima simu halaf hiyo situation after hiyo "suprise" wew ndo unajishusha tena instead of her...loh
openly hapo kuna mtu anakugongea.
Siku njema
 
Huyo c wako, angalia ustaraabu mwingine. Blalifaken na vimcharuko vyako! Tumia akili, ishara zote alizokuonyesha hutambui kuwa si wako??
 
Pole....ushaumia hapo. Khaa tunavyopenda mawasaliano sisi. Khaa siku nzima sijajua uko wapi unafanya nini, uko na hali gani? Haloooo oh sorry to say Ukiona manyoya............................................

Ajue kicheche kala nyama
 
kiukwel inauma ila jitaid kumpigia cmu jishushe uongo uonje onje hapo na mipira at th same time ukisaka mwingne ukimpata mteme fulu tena cku anakupigia cmu unampa mchumba wako mpya amwambie amechokwa,nimemmaind mslopogan
 
Mtoa mada kwanza pole sana,pili labda naomba unieleze nini maana ya surprise huenda mimi ndiyo sijui maana yake.
 
Kusoma hujui,hata picha pia huioni???
 
Hiyo ilikua ni nusu suprise subiri full suprise inakuja utakapoletewa mwenzio atakaechukua nafasi yako hapo suprise itakuwa full
 
Hiyo sio surprise ni janja ya fundi.
 
Mbilimbili kama ID yakobilivyo acha kupiga moja moja piga!!!!

Kifupi sana hiyo haikuwa suprise bali kuna nia ovu ndani ya hiyi suprise na ndiyo maana baada ya hapo mambo yakawa yanakwenda shaghalabaghala.

Jifunze, kubali matokeo na Chukua hatua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…