Suprise nyingine hazifai...

kweli wewe babu jinga! kwani mwanamke yupo yeye tu humu duniani? na wewe mfanyie suprise kubwa kuliko
 
so simu ilizimwa ijumaa jion?????lol,
ukiona manyoya.............
 
Aisee kweli surprise nyingine hazifai..Me naomba nikushauri kitu kimoja..Tafuta muda ukae wewe na huyo binti muongee ana kwa ana ujue moja..! Mtakapokutana kwa maongezi kuna kitu tu utagundua..
 
Sijui na wala sioni hata haja ya wewe kutafuta ushauri, maana majibu unayo labda kama una mpango wa kutuletea another surprise. Take care, ingia sokoni.
 
it needs mo than a normal heart to believe her story!!! ndio maana halisi ya .com, pole mwaya!
 
Mhhhh! Suprise ya kukatiana mawasiliano!? hii mie sijawahi kuisikia na wala siikubali hata siku moja.

nadhani jibu ya hicho ulichoongea ni title ya uzi huu... kishajua kabugi mbaya na analohilo ndio lake tena..
 
Tafuta muda uongee nae,thats the only solution.Mambo ya kuwasiliana kwenye simu kama watoto jamani 2ache.ndiyo 2wasiliane lakini ukiona dalili tofauti zaja kwa mpenz wako,mwite uongee nae,uliza suprise za kuzima cmu ndo nini?utapata jibu,saa ukingojea mawasiliano akibadili namba za cmu je?..kama kweli unampenda,tafuta muda uongee nae.wasichana wengine hawaongei,anaweza kuact kawaida 2,kumbe she has something inside,kusema hawezi.Mwisho mtaachana,atakuambia mwishoni,it was this and this,that makes me to broke up with you.it wil be too late.GO AND TALK TO HER.ACHANA NA MAMBO YA SIMU.
 

Pole kaka ukiona manyoya ujue keshaliwa....inauma lakini ndio ukweli wenyewe. Ila kama upo nae maeneo hayo hayo mzukie uongee nae akupe ukweli!
 

i'll do it!
 
Pole kaka ukiona manyoya ujue keshaliwa....inauma lakini ndio ukweli wenyewe. Ila kama upo nae maeneo hayo hayo mzukie uongee nae akupe ukweli!

nitatafuta muda, sababu wiki hii nimebanwa sana na majukumu.
 
Hiyo kweli suprise, au Hujui ijumaa ni weekenda siku ya kula bata, umeliwa kaka Shtuka!
 
Mtoe out wikend,atatoa yalio sirini mwake.ila,duh..hiyo surprise ya aina yake.au hana vocha may b.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…