Support itolewayo na Avatar

hahaha...
mkuu, hivi ulifikia wapi? Mbona uko kimya, miss chagga nae kimya..au ndo mambo yanaenda kimya kimya?
tupeni mrejesho japo mie Na Tyta tujue mlipofikia...
anyways, miss chagga is a cute girl.... Na usimuache mdogo wangu.
 
Last edited by a moderator:
Mi ata sijui wanawekaje hizo avatar ila I wish
 
Mi ata sijui wanawekaje hizo avatar ila I wish

Wewe warumi wewe!!!Umekimbia kule kwa ma celebrity eeeh, weka Avatar bwana!!Hujui kua moja ya sifa ya Avatar ukiacha sifa ya kusitiri nyingine ni kufanya watu wazidi kutamani kukufahamu na kukuona live pindi wanaionapo.
 
Kwa mm mkuu itakuwa bonge la danger kuji expose...ingawa pia sijui hat hyo avatar wanawekaje
 
Kwa mm mkuu itakuwa bonge la danger kuji expose...ingawa pia sijui hat hyo avatar wanawekaje

Kwi kwi kwi kwi....unaogopa naniii nn?Huo ndio umuhimu wa Avatar we unakua nyuma yake
 
Hahahaa haaaa uwiii nimecheka

Bora mi huwa natumia pics zangu tu.
Ht siogopi
 
Dinazarde upoooo!!nakumbuka kama uliwahi kusema uyu si wewe

dinazarde kuna siku alichanganyikiwa kwa kubadili avatar kulaleki...! kila akiweka mpya, anapigwa bango, anaweka nyingine, akiweka tena anapewa bango lingine... kulaleki akaona sasa msinichezee mazivu..!

akarudisha ile ile ya zamani ambayo ndo hii..
 
Hahahaa haaaa uwiii nimecheka

Bora mi huwa natumia pics zangu tu.
Ht siogopi

Weka sura nzima tutor tathmini zetu, nimepewa jukumu hili Na ndugu ysngu Excel coz i have a 'good taste'..lol
 
Last edited by a moderator:
Wewe warumi wewe!!!Umekimbia kule kwa ma celebrity eeeh, weka Avatar bwana!!Hujui kua moja ya sifa ya Avatar ukiacha sifa ya kusitiri nyingine ni kufanya watu wazidi kutamani kukufahamu na kukuona live pindi wanaionapo.

alaaa kumbeh! so ww umetaman wangap kwa hzo havatar feki?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…