Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,261
- 98,289
Walaaniwe woote wanaojipendekezaKujipendekeza kubaya sana..
Walaaniwe woote wanaojipendekezaKujipendekeza kubaya sana..
Umeonaeeeeeeeee?MARA wanatafuta mbinu za kuficha aibu zaoNjaa tu inakuhangaisha,umefuata mtu,haya sasa endelea kumfuata. Kwa taarifa tu awamu hii teuzi za kimalaya hakuna
Kwani hata mtu wa aina yako ulikuwa na wazo la kuhamia upinzani au Chadema? "Jamani!Hamia tu mkuu huku upinzani nako viongozi walioko hawaoneshi matumaini na kuaminiwa. Ona mpk kwenye msiba bado tu wanamdhihaki mtu ameshakufa. Hatari sana hawa jamaa
Upinzani wote Mbowe tu ndio anaonekana hekima zipo. Hawa wengine ni majanga aisee.
Kwa haya tulioyashuhudia tubaki na Ccm tu
Kwani nani kakuuliza hadi kujieleza kote huko? Unasutwa na nini? Inaonekana kama kuna dhamira fulani inakusuta sasa umeamua mjibizane ndani kwa ndani, wewe na dhamira yako.Wanaonipigia kelele na wenye mawazo potofu ya kwamba nimehamia CCM kwasababu ya Mtu na kwamba najutia maamuzi yangu;
Sikieni: Kilichonivutia kuingia CCM ni UIMARA WA TAASISI chini ya utendaji mzuri wa Taasisi za Chama na Urais/Serikali zilizoongozwa na Jemedari Magufuli na wasaidizi wake imara akina Mama Samia.
TAASISI ZOTE BADO ZIPO HAI, Legacy yake JPM ipo hai; na kikubwa zaidi tuna Rais makini Mama Samia anayebeba matumaini makubwa ya Watanzania.
NAJIVUNIA NA NITAENDELEA KUJIVUNIA CCM NA SERIKALI ZAKE ambazo zinaendelea kuwaletea WATANZANIA WOTE maendeleo yasiyomithilika.
RIP Magufuli, God bless Rais Samia na Tanzania.
Suphian.View attachment 1733249View attachment 1733250
Wengi hawaoni muelekeo wa siasa za upinzani ni giza tororo tuKwani hata mtu wa aina yako ulikuwa na wazo la kuhamia upinzani au Chadema? "Jamani!
Kwani wewe una faida gani?zaidi ya kupinga pinga kila kituHuna faida kwenye jamii ya watanzania
Mtatuuza nyieKwani hata mtu wa aina yako ulikuwa na wazo la kuhamia upinzani au Chadema? "Jamani!
Musiba kupitia gazeti la tanzanite alikuita wewe n shoga na hujawahi kukana kwamba wewe n shoga haya tuambie leo wewe n shoga kweli?
Maana musiba n CCM mwenzio huenda ana uhakika wewe n shoga
Ukijibu chochote unamwambia nn mwana CCM mwenzio musiba
Sasa na wewe ulitaka uhamie upinzani kwa akili hizo ukaongeze nini? Wewe unafaa sana kuwa mwana CCM, na nakushauri usihame CCM hadi akili zikujie. Kwa akili zako hizo maisha nje ya CCM huyaweziWengi hawaoni muelekeo wa siasa za upinzani ni giza tororo tu
Kuna kuna siku Taasisi zilikufa? Kinachozungumzwa ni suala la kutegemea mtu badala ya kujenga na kuimarisha Taasisi Imara.Wanaonipigia kelele na wenye mawazo potofu ya kwamba nimehamia CCM kwasababu ya Mtu na kwamba najutia maamuzi yangu;
Sikieni: Kilichonivutia kuingia CCM ni UIMARA WA TAASISI chini ya utendaji mzuri wa Taasisi za Chama na Urais/Serikali zilizoongozwa na Jemedari Magufuli na wasaidizi wake imara akina Mama Samia.
TAASISI ZOTE BADO ZIPO HAI, Legacy yake JPM ipo hai; na kikubwa zaidi tuna Rais makini Mama Samia anayebeba matumaini makubwa ya Watanzania.
NAJIVUNIA NA NITAENDELEA KUJIVUNIA CCM NA SERIKALI ZAKE ambazo zinaendelea kuwaletea WATANZANIA WOTE maendeleo yasiyomithilika.
RIP Magufuli, God bless Rais Samia na Tanzania.
Suphian.View attachment 1733249View attachment 1733250
Anaona WivuNa msaliti mzee wa MIGA Lisu anashangilia sana.
Amefikia hatua ya kuionea aibu maiti kwamba kwa nini inaliliwa sana.
🤣🤣🤣🤣Ushakatwa mkia
Msijifanye mmshesahau wapi ulikompeleka Ben Saanane?elewa alikua member humu,Azory G.yupo wapi?historia utakuja kuwahukumu maana elewa hawa nao walikua binadamu wenye familia zao,utofauti wa kiitikadi sio death sentence na hakuna tofauti ya kifo cha President na kifo cha mtu mwingine,wote ni binadamu hawa!Hamia tu mkuu huku upinzani nako viongozi walioko hawaoneshi matumaini na kuaminiwa. Ona mpk kwenye msiba bado tu wanamdhihaki mtu ameshakufa. Hatari sana hawa jamaa
Upinzani wote Mbowe tu ndio anaonekana hekima zipo. Hawa wengine ni majanga aisee.
Kwa haya tulioyashuhudia tubaki na Ccm tu
MATAGA na SUKU-maaaa Gang sijui watapewa ajira gani maana Mh Suluhu hana ukabila wala ukanda.
Taja ulichoongeza toka uwe huko zaidi ya kelele na pinga pinga tu kila kitu. Yaani una pinga mpaka wafuSasa na wewe ulitaka uhamie upinzani kwa akili hizo ukaongeze nini? Wewe unafaa sana kuwa mwana CCM, na nakushauri usihame CCM hadi akili zikujie. Kwa akili zako hizo maisha nje ya CCM huyawezi