Suphian: Nimehamia CCM kwasababu ya uimara wa taasisi

Hamia tu mkuu huku upinzani nako viongozi walioko hawaoneshi matumaini na kuaminiwa. Ona mpk kwenye msiba bado tu wanamdhihaki mtu ameshakufa. Hatari sana hawa jamaa
Upinzani wote Mbowe tu ndio anaonekana hekima zipo. Hawa wengine ni majanga aisee.
Kwa haya tulioyashuhudia tubaki na Ccm tu
Watu walishachoka wanapigana spana mpaka marehemu
 
Mh Tundu lissu amejitahidi Sana kupandikiza Baadhi ya watu roho ya chuki, roho ya kisasi, roho ya kishetani isiyo na aibu inayozomea hata wafu na kukashifu maiti, hii ni zaidi ya ushetwani na ni kufuru Mbele za Mola wetu

Kajitahidi Sana kupandikiza roho hili la ushetani, kutukana viongozi, roho hii chafu inawatesa vijana wengi hapo Ufipa Hadi nawaonea huruma, Katika Hali ya kawaida, haiwezekani mtu uanze kukashifu mtu aliyekufa, yaani wanashindana na mtu asiyeweza kuongea?? Kweli?? Huyu ndiye mbeligiji anayeleta Aina mpya ya malezi na staili ya maisha

Nafurahi kwamba, Tanzania haitakuja kuongozwa na Aina ya mtu kama huyu!!
Kama mlivyopandikizwa nyie hadi mkawa mnafurahi yeye kupigwa risasi
Kibaya zaidi mkazuia asiombewe
 
Ulikua unafata teuzi tu hakuna kingine
 
Wewe Suphian Juma ndie yule Musiba alikuwa anakuandika kuwa sio riziki ama mwingine? Nijibu ndio nikonect dots na hoja yako hii

Wasalaam
 
Bado wanakukumbuka huna haja ya kupiga zumari
 
Na msaliti mzee wa MIGA Lisu anashangilia sana.

Amefikia hatua ya kuionea aibu maiti kwamba kwa nini inaliliwa sana
Jiwe sio story tena.Tugange yajaye na Mama Samiah Suluhu!
 
Nani anajali wewe kuwa mwana ccm?

Kwani kuna dhambi kwako kuhamia ccm?

Hizo nongwa zipo ccm kumchukia mwana ccm kuhamia chama kingine kama mlivyo mtukana mzee Lowasa na kumuita majina ya ajabu na kumzushia magonjwa.
 
Hamia tu mkuu huku upinzani nako viongozi walioko hawaoneshi matumaini na kuaminiwa. Ona mpk kwenye msiba bado tu wanamdhihaki mtu ameshakufa. Hatari sana hawa jamaa
Upinzani wote Mbowe tu ndio anaonekana hekima zipo. Hawa wengine ni majanga aisee.
Kwa haya tulioyashuhudia tubaki na Ccm tu
Huna faida kwenye jamii ya watanzania
 
Mh Tundu lissu amejitahidi Sana kupandikiza Baadhi ya watu roho ya chuki, roho ya kisasi, roho ya kishetani isiyo na aibu inayozomea hata wafu na kukashifu maiti, hii ni zaidi ya ushetwani na ni kufuru Mbele za Mola wetu

Kajitahidi Sana kupandikiza roho hili la ushetani, kutukana viongozi, roho hii chafu inawatesa vijana wengi hapo Ufipa Hadi nawaonea huruma, Katika Hali ya kawaida, haiwezekani mtu uanze kukashifu mtu aliyekufa, yaani wanashindana na mtu asiyeweza kuongea?? Kweli?? Huyu ndiye mbeligiji anayeleta Aina mpya ya malezi na staili ya maisha

Nafurahi kwamba, Tanzania haitakuja kuongozwa na Aina ya mtu kama huyu!!
Ben saanane ameuliwa kwa kosa gani?
 
MATAGA na SUKU-maaaa Gang sijui watapewa ajira gani maana Mh Suluhu hana ukabila wala ukanda.
 
Taasisi imara inayoendesha nchi na katiba ya chama kimoja ya 1977 are you insane?
 
Hamia tu mkuu huku upinzani nako viongozi walioko hawaoneshi matumaini na kuaminiwa. Ona mpk kwenye msiba bado tu wanamdhihaki mtu ameshakufa. Hatari sana hawa jamaa
Upinzani wote Mbowe tu ndio anaonekana hekima zipo. Hawa wengine ni majanga aisee.
Kwa haya tulioyashuhudia tubaki na Ccm tu
Mkuu nyie ndio mlipanda hii mbegu nakumbuka Lissu manusura afe na Mbowe naye alivamiwa mkaongea dhihaka nyingi sijui alikua kwa mchepuko cjui lissu kapigwa risasi na Mbowe mwenyewe mara cjui anaigiza.

Yale maumivu mnadhani wanayasahau? Ingawa sikubaliani na Lissu katika dhihaka ila hii chuki mliileta wenyewe so na nyie yakiwarudia mvumilie tu.
 
Njaa tu inakuhangaisha, umefuata mtu, haya sasa endelea kumfuata. Kwa taarifa tu awamu hii teuzi za kimalaya hakuna
 
Na msaliti mzee wa MIGA Lisu anashangilia sana.

Amefikia hatua ya kuionea aibu maiti kwamba kwa nini inaliliwa sana
Lissu amekutieni mimba mataga wooote mnamuota yeye 24/7 jitahidini muzae salama tu
 
Wanaonipigia kelele na wenye mawazo potofu ya kwamba nimehamia CCM kwasababu ya Mtu na kwamba najutia maamuzi yangu;

Sikieni: Kilichonivutia kuingia CCM ni UIMARA WA TAASISI chini ya utendaji mzuri wa Taasisi za Chama na Urais/Serikali zilizoongozwa na Jemedari Magufuli na wasaidizi wake imara akina Mama Samia.

TAASISI ZOTE BADO ZIPO HAI, Legacy yake JPM ipo hai; na kikubwa zaidi tuna Rais makini Mama Samia anayebeba matumaini makubwa ya Watanzania.

NAJIVUNIA NA NITAENDELEA KUJIVUNIA CCM NA SERIKALI ZAKE ambazo zinaendelea kuwaletea WATANZANIA WOTE maendeleo yasiyomithilika.

RIP Magufuli, God bless Rais Samia na Tanzania.

Suphian.View attachment 1733249View attachment 1733250
Malaya wa kisiasa wewe ngoja uone utavyotengwa yatima wewe kwani wangapi wamehamia CCM? Wewe kila siku umehamia ili upate uteuzi
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hamia tu mkuu huku upinzani nako viongozi walioko hawaoneshi matumaini na kuaminiwa. Ona mpk kwenye msiba bado tu wanamdhihaki mtu ameshakufa. Hatari sana hawa jamaa
Upinzani wote Mbowe tu ndio anaonekana hekima zipo. Hawa wengine ni majanga aisee.
Kwa haya tulioyashuhudia tubaki na Ccm tu
Yeye mwenzake alivyopigwa risasi ilikuwaje
 
Back
Top Bottom