Suphian: Nimehamia CCM kwasababu ya uimara wa taasisi

Suphian: Nimehamia CCM kwasababu ya uimara wa taasisi

Na wewe unahangaika hangaika tu! Juzi hapa ulikuwa unalia lia humu! Leo eti unatuletea stori zako za Taasisi imara! Sijui bla bla gani!! Usipokuwa makini utaishia kuwa omba omba mtaani!

Sasa kuhamia huko ccm si ni haki yako Kikatiba? Ina athari gani kwetu? Mada nyingine ni za kuchoshana tu na kujitafutia umaarufu usio na tija yoyote ile.
 
Mh Tundu lissu amejitahidi Sana kupandikiza Baadhi ya watu roho ya chuki, roho ya kisasi, roho ya kishetani isiyo na aibu inayozomea hata wafu na kukashifu maiti, hii ni zaidi ya ushetwani na ni kufuru Mbele za Mola wetu.

Kajitahidi Sana kupandikiza roho hili la ushetani, kutukana viongozi, roho hii chafu inawatesa vijana wengi hapo Ufipa Hadi nawaonea huruma, Katika Hali ya kawaida, haiwezekani mtu uanze kukashifu mtu aliyekufa, yaani wanashindana na mtu asiyeweza kuongea?? Kweli?? Huyu ndiye mbeligiji anayeleta Aina mpya ya malezi na staili ya maisha.

Nafurahi kwamba, Tanzania haitakuja kuongozwa na Aina ya mtu kama huyu!
 
Kwani ndie nani huyu?

Ana nini? mbona hafahamiki?

Atakuwa mchumia tumbo tu huyu hana lolote!
 
Mimi nilihama toka kipindi kile walivomleta Lowasa chadema na kumuacha dkt. Slaa, cha ajabu Mbowe alitamka hadharani kabisa siasa ni mchezo mchafu, unaweza kupaa juu na kuruka ukiwa hewani, nikikumbuka kina Dkt Slaa walivopambania chadema pale Arusha walichezea mabomu ya kutosha na walitoa hoja zenye mashiko kabisa, leo hii mtu mmoja mwenye hela ndo anaamua mwelekeo wa wanawake wengine wote wa Chadema 😂 😂
 
Halafu huyu jamaa kwa sasa hawezi kutweet bila kumtag Madam President.
 
Back
Top Bottom