Suphian: Nimehamia CCM kwasababu ya uimara wa taasisi

Suphian: Nimehamia CCM kwasababu ya uimara wa taasisi

Hamia tu mkuu huku upinzani nako viongozi walioko hawaoneshi matumaini na kuaminiwa. Ona mpk kwenye msiba bado tu wanamdhihaki mtu ameshakufa. Hatari sana hawa jamaa

Upinzani wote Mbowe tu ndio anaonekana hekima zipo. Hawa wengine ni majanga aisee.

Kwa haya tulioyashuhudia tubaki na Ccm tu
Na atadhihakiwa na mpaka na vizazi vijavyo. Muuaji hata akifa haiondoi ukweli kuwa alikuwa muuaji.
 
ingawa sina interest na kua president but kama ningekua na mamlaka upinzani kama mlimwita magufuli dictator sasa mm sjui mngeniitaje, yaani niwajengee fly over alafu mseme hazina umuhimu, yaani ambae angekua anapita pale ni mwenye kadi ya uanachama wa ccm tu
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mbegu hafifu kama zako haziwezi kuupata urais. Ni suala la muda tu zinakaribia kutokomea kwenye uso wa dunia
 
ingawa sina interest na kua president but kama ningekua na mamlaka upinzani kama mlimwita magufuli dictator sasa mm sjui mngeniitaje, yaani niwajengee fly over alafu mseme hazina umuhimu, yaani ambae angekua anapita pale ni mwenye kadi ya uanachama wa ccm tu
Short -sighted bro, kwahiyo miili kwenye viroba, lissu kupigwa risasi, watu kuporwa fedha zao kwenye mabenki zijengee fly over ni sawa?
Kwani waliopita si ndio walioanzisha hiyo miradi?
Tatizo MATAGA hamjisomei na kujielimisha.
Mradi upi alio anza nao?
MKAPA alijenga uwanja wa Taifa, Nyerere alijenga Uhuru, JK alijenga na wengine kila mtu kafanya kwa nafasi yake,, kwanini mnamtukuza huyu mtu mpaka mnamkufuru mungu? hamuogopi kweli kumuabudu mwanadamu?
 
Ukweli huenda polepole na uongo hukimbia. Kuna siku utajua maana yake. Hivi hivi tulitahadharisha juu ya corona. Tukasema mpaka afe nani ndiyo mkubali kuna corona. Haya imemwondoa Magufuli.
Waendelee tu kuknusha, Jafo kishaacha nyungu anapiga barakoa.

Bi-Tukinao Gwajima naye anapiga barakoa.

Bi-Kidude (Tulia Ackson) anapiga barakoa, MATAGA endeleeni kavu kavu
 
Wanaonipigia kelele na wenye mawazo potofu ya kwamba nimehamia CCM kwasababu ya Mtu na kwamba najutia maamuzi yangu;

Sikieni: Kilichonivutia kuingia CCM ni UIMARA WA TAASISI chini ya utendaji mzuri wa Taasisi za Chama na Urais/Serikali zilizoongozwa na Jemedari Magufuli na wasaidizi wake imara akina Mama Samia.

TAASISI ZOTE BADO ZIPO HAI, Legacy yake JPM ipo hai; na kikubwa zaidi tuna Rais makini Mama Samia anayebeba matumaini makubwa ya Watanzania.

NAJIVUNIA NA NITAENDELEA KUJIVUNIA CCM NA SERIKALI ZAKE ambazo zinaendelea kuwaletea WATANZANIA WOTE maendeleo yasiyomithilika.

RIP Magufuli, God bless Rais Samia na Tanzania.

Suphian.View attachment 1733249View attachment 1733250
Zitto bana, sijui watu wa jinsi hii uliwaokotaga wapi?
 
Taja ulichoongeza toka uwe huko zaidi ya kelele na pinga pinga tu kila kitu.yaani una pinga mpk wafu
Nitajie mfu mmoja tu. Ila asiwe huyu mliyesema ni CHUMA. Kwani Chuma hufa? Jiwe hufa?
 
Short -sighted bro, kwahiyo miili kwenye viroba, lissu kupigwa risasi, watu kuporwa fedha zao kwenye mabenki zijengee fly over ni sawa?
Kwani waliopita si ndio walioanzisha hiyo miradi?
Tatizo MATAGA hamjisomei na kujielimisha.
Mradi upi alio anza nao?
MKAPA alijenga uwanja wa Taifa, Nyerere alijenga Uhuru, JK alijenga na wengine kila mtu kafanya kwa nafasi yake,, kwanini mnamtukuza huyu mtu mpaka mnamkufuru mungu? hamuogopi kweli kumuabudu mwanadamu?


umeelewa kwanza ama umeropoka?
 
Wanaonipigia kelele na wenye mawazo potofu ya kwamba nimehamia CCM kwasababu ya Mtu na kwamba najutia maamuzi yangu;

Sikieni: Kilichonivutia kuingia CCM ni UIMARA WA TAASISI chini ya utendaji mzuri wa Taasisi za Chama na Urais/Serikali zilizoongozwa na Jemedari Magufuli na wasaidizi wake imara akina Mama Samia.

TAASISI ZOTE BADO ZIPO HAI, Legacy yake JPM ipo hai; na kikubwa zaidi tuna Rais makini Mama Samia anayebeba matumaini makubwa ya Watanzania.

NAJIVUNIA NA NITAENDELEA KUJIVUNIA CCM NA SERIKALI ZAKE ambazo zinaendelea kuwaletea WATANZANIA WOTE maendeleo yasiyomithilika.

RIP Magufuli, God bless Rais Samia na Tanzania.

Suphian.View attachment 1733249View attachment 1733250
Povu Jazba Veeepe ... tulia wewe sindano ikuingie sisi ndio wataalamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Musiba alitimuliwa jeshini kwa kashfa ya kuonekana amewahi kuingukiwa iliyodhibitishwa na Daktari hana uhalali wa kutukana mashoga
Wacha bwanaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pitia hapa
JamiiForums-942945843.jpg
 
Back
Top Bottom