Umekosea sana spelling Mshana Jr. badala ya 'skeleton' ukaandika 'muscles'.Ilitakiwa uandike 'super skeletons'
Umekosea sana spelling Mshana Jr. badala ya 'skeleton' ukaandika 'muscles'.Ilitakiwa uandike 'super skeletons'
Hao wajamaa kuingia jf kisha kwenda jukwaa la jamii photos na kusoma thread inayowahusu ni sawa na tembo wa mikumi kutembea mpaka dodoma na kuingia ndani ya ukumbi wa bunge na kumshika mkono spika.Hahhahaaaa SHIEKA jamaa utaacha wakasirike nikiandika hivyo
Hao wajamaa kuingia jf kisha kwenda jukwaa la jamii photos na kusoma thread inayowahusu ni sawa na tembo wa mikumi kutembea mpaka dodoma na kuingia ndani ya ukumbi wa bunge na kumshika mkono spika.