SUPER MODEL- Millen Magese

SUPER MODEL- Millen Magese

I had once seen her on interview on one of the M-net channels, after she had expressed herself - thats when I knew kwamba yuko juu, but baada ya hii thread ndo nimejua yuko juu kiasi gani. Big up kwake and may she be the next N Campbell (just the model reputation not the attutude)
 
She is one of the greatest ni mwana mitindo pekee anayeishi nje ya nchi ambaye aanshiriki matatizo ya kijamii nakumbuka ametoa pesa kwa wahanga Wa mabomu na Pia rambirambi kwa wafiwa Wa bendi ya 5star modern taarab. Tumuombee Mungu azidi kumlinda
 
Tusidanganyane huyi sio super model, huyu ni Model, hajafikia ule nafsi hata ya Alek Wack, bado ana safari .
 
Kila la kheri Millen,wakati wa kupata elimu pale Kibosho Girls' ulikuwa mmojawapo wa wasichana wanaongoza kwa urefu.
Kweli mafanikio ya mtu yapo katika jitahada pia,kwani usingeamua kushiriki mashindano ya ulimbwende,sijui ungekuwa wapi.
Kila mtu ana kipaji/talanta aliyopewa na Mungu zitumike kujikwamua na kujiletea maendeleo.
Kila la kheri Usimsahau Mungu
 
Nilisikiaga alivikwa engagement ring na jamaa mmoja wa kibongo sijui imeishia wapi
 
Mambo ya kushindia Tango moja na nyanya moja ,hayo ndio yaliyomshinda bi Mariam Odemba,watu wamezoea ugali wa kijaluo bana unaitwa stereo yaani ule wa mtama mgumu kama zege na mweusi kama rangi yangu
 
Back
Top Bottom