Mkuu umenielewa lakini? nilimaanisha hiyo rangi hadi wizara ya mambo ya ndani kuko hivyo hivyo??Wapo ila maji bahari
Kampla au South Sudan?
Wacha kukaririNdio maana yake[emoji23] [emoji23] [emoji125]
BLACK IS BEAUTIFUL
Mkuu umenielewa lakini? nilimaanisha hiyo rangi hadi wizara ya mambo ya ndani kuko hivyo hivyo??
Ha ha haaaaaa... sawa mkuuSebuleni hivyo hivyo ila chumbani ni msimbazi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]White Is Biskuti[emoji3]
mzee hii avatar pic yako namkubali sana huyo babu, check the bodyguard ( sammo hung) na uzee wake alivyotembeza mkong'otoHa ha haaaaaa... sawa mkuu
Ha ha haaaaa.. sawa mkuu, huyo babu pamoja na kitambi chake ila yuko vizuri balaa.mzee
mzee hii avatar pic yako namkubali sana huyo babu, check the bodyguard ( sammo hung) na uzee wake alivyotembeza mkong'oto
babu yuko vizuri hatari, naona keshacheza picha nyingi tu na jackie chan, ila namkubali sana aiseeHa ha haaaaa.. sawa mkuu, huyo babu pamoja na kitambi chake ila yuko vizuri balaa.
Picha nyingi alizocheza na Jackie Chan zina vituko lakini mapigano ya uhakika pia yanapatikana,,babu yuko vizuri hatari, naona keshacheza picha nyingi tu na jackie chan, ila namkubali sana aisee