Super black

Super black

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,453
Reaction score
872,059
IMG-20170916-WA0106.jpg
 
jaman mie nimevutiwa tu na glass hapo nilivyo mgonjwa wa vyombo dah !nitazitafta !
African chicks
 
Hao ndio Wanubi halisi, ni kizazi ambacho mpaka leo hakijaharibika uhalisia wake kwa kuchanganya damu na jamii zingine
Tangu kipindi cha Mapharao jamaa wako hivyohivyo
Samahani, hivi wanubi ni watu wa wapi
 
Samahani, hivi wanubi ni watu wa wapi

Wanubi walikuwa wanaanzia South of Egypty mpaka Sudani ya sasa, Na Sudan yote kabla ya Kuvamiwa na Waarabu ilikuwa nchi ya watu weusi (Wanubi), so Waarabu walivyovamia Egypty na Sudan, hao wanubi Wakasogea ilipokuwa sasa Sudan ya Kusin maeneo ya Juba, Darful nk

Sehemu kubwa ya Historia ya Africa na Mashariki ya kati iko kwenye Mapiramid ya huko Misri, na hizo chini ni picha za Races zilizokuwa hapo Egypt wakati huo wa Mapharaoh utawaona hao Wanubi na Rangi zao nyeusi walizonazo mpaka leo wako hivyo hivyo japo ni zaidi ya miaka 5000 iliyopita

image.jpg

image.jpg
 
Kweli we ni wale ninaowapenda.
Zawadi yako hiyo
64d7f97b8d1e3074317b0e9f83ef76f9.jpg

awwwww !mbn nimetaman jaman hii ! jaman napenda vyombo hasa unique! mie huwa naamini ht uwe na msos wa kawaida ukaaundaa kwenye chombo kizurii automatic chakula kinakuwa kitaaaamu !
juic andaa tupia kwenye glass nzuriiii awww!

sipend mavyombo vyomo mrad chombo arghhh nakosaga mzuka !napenda jiko kiujumla wake !thnx nimeisave aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom