kuna membaz kama akina Nguruvi, Mkandara, waberoya, Jastropha na wegine hao wachache tu.
@Lizy na The Boss nyie ni moja ya supa star sina hiana yoyote nataka tu kuelewa vigezo hasa ni nini?
Tumeupataje huo usupar star sasa hata wao wakose?kuna membaz kama akina Nguruvi, Mkandara, waberoya, Jastropha na wegine hao wachache tu.
@Lizy na The Boss nyie ni moja ya supa star sina hiana yoyote nataka tu kuelewa vigezo hasa ni nini?
Mimi na FF ndiyo tuna hadhi ya kisupastaa humu JF lakini wengine wanajikongoja tu kudadadadadeki.
u sound like male
usijali,huku kuna style nyingi za kufamamika na sio usuperstar,mfano mtu anafahamika kwajibu mada mbona nahisi navamiwa au ni mada sensitive?
Mwita25 kuna seridi kako nilikaona asubuhi nikasema ngoja nioge nikasome, kamepotelea wapi?
Nahisi mmekuja kwa ukali sana. Kama nimekosea kurusha hi topic naomba mnisamehe.
Nahisi mmekuja kwa ukali sana. Kama nimekosea kurusha hi topic naomba mnisamehe.