nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
c ushukuru umetemwa mapema, ungetemwa kipindi hu mgonjwa na unamuhitaj sana c ingekua balaa kwako.ni miaka kama miwili imepita. Nakumbuka nilianza naye uhusiano nikiwa mwaka wa nne na yeye mwaka wa mwisho chuoni kwao. Kabla ya hapo nilikuwa karibu naye kwa miaka kama miwili nyuma. Akamaliza chuo akaniacha nikiwa mwaka wa tano ili niweze kuhitimu masomo yangu. Kwa muda ambao alikuwa anasubiri ajira alikaa nyumbani kwao kwani hakupata sehemu ya kujishikiza. January ajira zikatoka kapangiwa kigoma mi niko dar. Nilimwambia hamna noma kwani mawasiliano na usafiri si upo, we nenda. Akaenda kuripoti na kuanza kazi(ni mwalimu). Tuliendelea na mawasiliano huku mi nikiendelea kupiga shule ili nimalize nikafanye internship nioe kabisa. Niliwahi kumwambia nyuma kwamba kuoa kwangu ni mpaka niwe na uhakika wa kwamba tutakula na kulala kwa amani. Nikiwa naendelea na shule bahati mbaya nikaangukia mikononi mwa walaji wa vichwa(muhas wanajua hili) nikaliwa kozi moja. Loh! Sikuwahi kupata sup hivyo nilichanganyikiwa lakini nilijipa moyo kwani sikuwa wa kwanza. Na kurudia ni until when next offered meani ntarudia kozi na madogo. Nikajipanga nikamwambia mwenzangu akaniuliza, ko unagraduate lini? Nikamwambia, mwakani.. Akanambia, ko kuna mwaka mmoja mbele? Nikajua hapa mwenzangu anapiga mahesabu ya kuolewa, nikamjibu ndiyo. Kozi ilikuwa kama wiki 12, semister ilivyoanza nami nikaanza, loh.! Matatizo yakaanza, mawasiliano hovyo, akiongea mkato mkato yaani ikawa ni balaa. Alipata likizo akagoma kuja dar bila sababu. Katika kufuatilia kuna jamaa yangu wa karibu akanambia kuna jamaa mwingine anabambia. Nikaona hamna shida nikapiga chini na kuendelea na maisha yangu na nashukuru Mungu ile kozi niliipunch. Mpaka leo wanawake nawaona kama watu wanaotaka mafanikio tu bila kujua kwamba kuna visiki humo njiani.
mkuu nakubaliana na wewe tena muhas! Wakiamua kichwa wana kilamba, chezea Nyambo weye!weee! Medicine na baed havilingani hata siku moja. By the way mtu aliyesoma kozi za science hawezikushangaa sup. Kuna muda tunachukuliaga normal life. Yes future isikufanye kuwa mtu wa kubahatisha.
hakuwa ridhki!! mungu alikuepusha na mengi!
mkuu nakubaliana na wewe tena muhas! Wakiamua kichwa wana kilamba, chezea Nyambo weye!
mi ndo mana vichwa vya klas moja nilikuwa sili, nilikuwa naona awkward nina banda afu msela ana sup.
Ama nina div ya mana afu msela anachechemea.
Napenda anizidi kwa vingi, hasa kichwani.
mkuu kuna watu wanachezea sup tangu first year mpaka wanamaliza. Loh! Elimu ya chuo ina challenge zake lakini haifanyi mtu aonekane kilaza. Nilishuhudia washkaji wazuri yaani very bright lakini wanadisco kwa kukosa mbinu za mtihani.
ukitaka kujua maisha ni mabaya basi olewa na mwanaume uliyemzidi kiakili.mi ndo mana vichwa vya klas moja nilikuwa sili, nilikuwa naona awkward nina banda afu msela ana sup.Ama nina div ya mana afu msela anachechemea.Napenda anizidi kwa vingi, hasa kichwani.
ni miaka kama miwili imepita. Nakumbuka nilianza naye uhusiano nikiwa mwaka wa nne na yeye mwaka wa mwisho chuoni kwao. Kabla ya hapo nilikuwa karibu naye kwa miaka kama miwili nyuma. Akamaliza chuo akaniacha nikiwa mwaka wa tano ili niweze kuhitimu masomo yangu. Kwa muda ambao alikuwa anasubiri ajira alikaa nyumbani kwao kwani hakupata sehemu ya kujishikiza. January ajira zikatoka kapangiwa kigoma mi niko dar. Nilimwambia hamna noma kwani mawasiliano na usafiri si upo, we nenda. Akaenda kuripoti na kuanza kazi(ni mwalimu). Tuliendelea na mawasiliano huku mi nikiendelea kupiga shule ili nimalize nikafanye internship nioe kabisa. Niliwahi kumwambia nyuma kwamba kuoa kwangu ni mpaka niwe na uhakika wa kwamba tutakula na kulala kwa amani. Nikiwa naendelea na shule bahati mbaya nikaangukia mikononi mwa walaji wa vichwa(muhas wanajua hili) nikaliwa kozi moja. Loh! Sikuwahi kupata sup hivyo nilichanganyikiwa lakini nilijipa moyo kwani sikuwa wa kwanza. Na kurudia ni until when next offered meani ntarudia kozi na madogo. Nikajipanga nikamwambia mwenzangu akaniuliza, ko unagraduate lini? Nikamwambia, mwakani.. Akanambia, ko kuna mwaka mmoja mbele? Nikajua hapa mwenzangu anapiga mahesabu ya kuolewa, nikamjibu ndiyo. Kozi ilikuwa kama wiki 12, semister ilivyoanza nami nikaanza, loh.! Matatizo yakaanza, mawasiliano hovyo, akiongea mkato mkato yaani ikawa ni balaa. Alipata likizo akagoma kuja dar bila sababu. Katika kufuatilia kuna jamaa yangu wa karibu akanambia kuna jamaa mwingine anabambia. Nikaona hamna shida nikapiga chini na kuendelea na maisha yangu na nashukuru Mungu ile kozi niliipunch. Mpaka leo wanawake nawaona kama watu wanaotaka mafanikio tu bila kujua kwamba kuna visiki humo njiani.
mi ndo mana vichwa vya klas moja nilikuwa sili, nilikuwa naona awkward nina banda afu msela ana sup.
Ama nina div ya mana afu msela anachechemea.
Napenda anizidi kwa vingi, hasa kichwani.
Mbona hapo kwa lugha ya statistics hapo bolded tunasema "no correlation"
Tatizo lako halikuwa supp,
hakuwa wako
POLE SANA...
Ivi ulishawahi kumla..aka.. Kuonja utamu wake au ndio mlikuwa kwenye uhindi sana{kuchkuch}...?
ukitaka kujua maisha ni mabaya basi olewa na mwanaume uliyemzidi kiakili.
Mi nakupa hongera kwa kupiga chini huyo mtaka vilaini laini bila kuvuja jasho. Wacha afundishwe maisha na watu wa chigomaaaaa.
Mshukuru Mungu kwa hilo, jipange na nadhani utampata baadaye wa kukufaa kama bado hujampata mpaka sasa.
Umenikumbusha my undergrad studies kuna mtu nilitaka kuomba kura then nikarealize mtoto ana first class, nilikomaa aje na masomo!
mkuu unajua kwa Robert Einstem alidisco chuo? Samahani kama siyo mtu wa sayansi lakini. Unajua kuna watu mkikaa naye kwenye discussi nyie mnamtegemea yeye ila kwenye mtihani anashindwa kuyapresent yale aliyonayo? Mtu kasoma shule zetu katoka na div 1 nzuri form four na six unaweza kumwita kilaza? Huyu akidisco chuo utasema uwezo wake mdogo. Kwa elimu ya chuo mtihani siyo kipimo kizuri kujua kama watu wameelewa au la!
Hakuwa wako huyo. Hata ungeoa angekutema tu! Kaka ukiona kakutema usilie, just run maana uking'ang'ania lazima uje kuitoa roho yako!