Sumsung S6+ zina shida gani?

Sumsung S6+ zina shida gani?

Mr PJ

Senior Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
103
Reaction score
203
Nina miezi miwili toka ninunue simu hii ila inanisumbua kweli kweli. Kuna mda inaweza stuck gafla ikazima. Sasa kubwa zaidi tokea juzi nilisikiliza mziki ikiwa vizuri kuamka asubuhi haitoi tena sauti hata kwa earphones, nimejaribu kureset hamna badiliko lolote. Naomba kwa mwenye kujua tatizo hapo ninini. Ama nirudie tu TECNO yangu maana haikua na mambo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlitumia s6+ miaka miwili,zaidi ya kutokaa na charge haikua na tatizo lingine lolote,to me that was the best phone ever. Sio huu utopolo naotumia saiv [emoji34], hyo itakua copy mkuu kama una risiti rudisha dukani ka ulinnua kimazabe pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanza hakuna s6+ kuna s6 plain na s6 edge/edge+

Pia jaribu kuangalia kama ni international version ama hizi refurb za mtaani,

Zima simu then washa kwa kushikilia cha kupunguza sauti, home na cha kuwashia simu, itawaka kwenye download mode, soma hio model iweke hapa jukwaani.
 
Weweeeee hapa unampoteza mkuu..labda kama ni mtundu..

Mwambie apitie kwenye
Setting- about device, hapa ataona device name & model number..

kwa mahitaji zaidi kama baseband version na build number ataenda kwenye Software info...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumiaji wa tecno huwa tunawaona mafaaaaaaala ila huwezi kuwakuta wanalialia hv. Kwanza tecno ikizingua hata kuwaka unaipasha kwenye jiko la gesi kwa kutumia sufuria tu na inawaka viuuuuri.
 
Weweeeee hapa unampoteza mkuu..labda kama ni mtundu..

Mwambie apitie kwenye
Setting- about device, hapa ataona device name & model number..

kwa mahitaji zaidi kama baseband version na build number ataenda kwenye Software info...

Sent using Jamii Forums mobile app
Refurb zote siku hizi zinaonesha kama international version wakati sio, watu wanacheza tu na hizo software about haiaminiki.

Download mode ni kama bios yenyewe ipo low level zaidi ngumu mtu kuimodify
 
Mkuu kwanza hakuna s6+ kuna s6 plain na s6 edge/edge+

Pia jaribu kuangalia kama ni international version ama hizi refurb za mtaani,

Zima simu then washa kwa kushikilia cha kupunguza sauti, home na cha kuwashia simu, itawaka kwenye download mode, soma hio model iweke hapa jukwaani.
Mkuu samahani,
Kuna uhusiano gani kati ya international version na refurbished?

Nijuavyo mimi refurbished ni simu yoyote iliyofanyiwa marekebisho ikarudi tena sokoni, haijalishi iwe international version au zone/carrier locked/unlocked...

Hii ina maana hio yake hata akaikuta ni international version hakuondoi mazingira ya kua refurb,

Mi nahisi shida ya hii simu yake itakua kwenye hardware, Na hii simu kwa mazingira yoyote itakua either refurb au mtumba.
 
Mkuu samahani,
Kuna uhusiano gani kati ya international version na refurbished?

Nijuavyo mimi refurbished ni simu yoyote iliyofanyiwa marekebisho ikarudi tena sokoni, haijalishi iwe international version au zone/carrier locked...
Means hio yake hata akaikuta ni international version hakuondoi mazingira ya kua refurb,

Mi nahisi shida ya hii simu yake itakua kwenye hardware, Na hii simu kwa mazingira yoyote itakua either refurb au mtumba.
Upo uzi humu alishaelezea kila kitu na details zote,utafute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahani,
Kuna uhusiano gani kati ya international version na refurbished?

Nijuavyo mimi refurbished ni simu yoyote iliyofanyiwa marekebisho ikarudi tena sokoni, haijalishi iwe international version au zone/carrier locked/unlocked...

Hii ina maana hio yake hata akaikuta ni international version hakuondoi mazingira ya kua refurb,

Mi nahisi shida ya hii simu yake itakua kwenye hardware, Na hii simu kwa mazingira yoyote itakua either refurb au mtumba.
mahusiano ni kwamba refurb zinatoka nchi zilizoendelea kama USA, Korea, Uingereza, Japan etc nchi hizi simu zinauzwa kimikataba na zinapatikana kwa bei rahisi, pia zinakuwa zinamiss mambo mengi kama vile unlocked bootloader, frequency za mitandao ya simu zote, na mambo mengi, kifupi mitandao husika ya hizo nchi wanafanya kila mbinu kuhakikisha isipotumika kwenye mtandao wao ikupe tabu.

international version mara nyingi huuzwa region ya EMEA yaani Europe, Middle East na huku kwetu Africa, ulaya kutokana na kodi kuwa ghali ngumu sana kukuta mtu anafungasha mzigo ujerumani ama urusi na kuja kuuza kwetu, hivyo ukiona international version ipo bongo ujue ni ile yenyewe ilioletwa na samsung,

na hata ikiwa ni refurb ya international hutakuta matatizo ya ajabu ajabu unless imetumika sana, sababu simu zake zinakuwa open tayari na kuna mods kibao toka kwa developers mbalimbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom