Sumsung S6+ zina shida gani?

Sumsung S6+ zina shida gani?

Mr PJ

Senior Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
103
Reaction score
203
Nina miezi miwili toka ninunue simu hii ila inanisumbua kweli kweli. Kuna mda inaweza stuck gafla ikazima. Sasa kubwa zaidi tokea juzi nilisikiliza mziki ikiwa vizuri kuamka asubuhi haitoi tena sauti hata kwa earphones, nimejaribu kureset hamna badiliko lolote. Naomba kwa mwenye kujua tatizo hapo ninini. Ama nirudie tu TECNO yangu maana haikua na mambo hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali simu ulinunua brand new ama used wafanyabiashara kuzipamba wanaziita refurbished
 
s6 hatuna s6+

ila s6 edge ipo 6 edge+.

mkuu hii mada ya simu ref ipo,na una haja ya kiitembelea,simu nyingi kkoo sio mpya,kwa maana ilitoka kiwandani ikaatulia ktk box mpaka inakutana na wewe,bali zile zilitumika nchi za watu,zikakusanywa tena kufanyiwa marekebisho kisha kuwekwa ktk box na kuunzwa tena huku africa.

kutokana na mzunguko hup ndio maana simu inakuwa na tabia zisizoeleweka,mfano kuzima ghafla,kuchemka,kukata mtandao nk.

wanaobahatika kununua simu mpya nje ya nchi,au hata hapa ndani ni wachache sana,na kiukweli kabisa 100% hawajutii,unakuta mtu ana simu mwaka wa 5 huy haujawahi kusumbua hata kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom