Sumsung S6+ zina shida gani?

Sumsung S6+ zina shida gani?

Mkuu kwanza hakuna s6+ kuna s6 plain na s6 edge/edge+

Pia jaribu kuangalia kama ni international version ama hizi refurb za mtaani,

Zima simu then washa kwa kushikilia cha kupunguza sauti, home na cha kuwashia simu, itawaka kwenye download mode, soma hio model iweke hapa jukwaani.
ODIN MODE
PRODUCT NAME:- SM G 9250
CURRENT BUNARY: Samsung Official
SYSTEM STATUS: Official
REACTIVATION LOCK: OFF
CROM SERVICE: Lock
Secure Download:- Enabled
KNOX WARRANTY VOID: 0(0×0000)
RP SWREV:B:Z K:2 S:0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ODIN MODE
PRODUCT NAME:- SM G 9250
CURRENT BUNARY: Samsung Official
SYSTEM STATUS: Official
REACTIVATION LOCK: OFF
CROM SERVICE: Lock
Secure Download:- Enabled
KNOX WARRANTY VOID: 0(0×0000)
RP SWREV:B:Z K:2 S:0

Sent using Jamii Forums mobile app
g9250 ni model ya china, mkuu kama kuna uwezekano irudishe hii ndio solution nzuri zaidi.

otherwise unaweza kucheza nayo, root, weka recovery na kujaribu custom rom mbalimbali.
 
Weweeeee hapa unampoteza mkuu..labda kama ni mtundu..

Mwambie apitie kwenye
Setting- about device, hapa ataona device name & model number..

kwa mahitaji zaidi kama baseband version na build number ataenda kwenye Software info...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo atafeli vbaya sana,, hata ww mkuu usije angalia international kwa ndani...wana edit build prop ngoma ndan inasoma F ,ukitaka kuijui unaingia download mode..au recovery..kule ndo kuna ukwel wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mahusiano ni kwamba refurb zinatoka nchi zilizoendelea kama USA, Korea, Uingereza, Japan etc nchi hizi simu zinauzwa kimikataba na zinapatikana kwa bei rahisi, pia zinakuwa zinamiss mambo mengi kama vile unlocked bootloader, frequency za mitandao ya simu zote, na mambo mengi, kifupi mitandao husika ya hizo nchi wanafanya kila mbinu kuhakikisha isipotumika kwenye mtandao wao ikupe tabu.

international version mara nyingi huuzwa region ya EMEA yaani Europe, Middle East na huku kwetu Africa, ulaya kutokana na kodi kuwa ghali ngumu sana kukuta mtu anafungasha mzigo ujerumani ama urusi na kuja kuuza kwetu, hivyo ukiona international version ipo bongo ujue ni ile yenyewe ilioletwa na samsung,

na hata ikiwa ni refurb ya international hutakuta matatizo ya ajabu ajabu unless imetumika sana, sababu simu zake zinakuwa open tayari na kuna mods kibao toka kwa developers mbalimbali.
Chief umeweka kila kitu wazi na umeeleweka vyema mleta mada atoe maelezo vizuri ili tujue shida ni nini maana ni juavyo kwa simu ya samsung sio rahisi kufanya hayo anayo lalamikia either ni copy au ndo hizo zenye kutumika nchi fulani nasio international version.

Samsung galaxy note 3 snapdragon
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom