Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
hilo la kijani panda linalo enda mbeya tu usije ukapanda la kahama singida sijui utaomba upande sumry tena
Dah basi siku nikipata trip ya huko nitakua makini
hilo la kijani panda linalo enda mbeya tu usije ukapanda la kahama singida sijui utaomba upande sumry tena
kama ulikuwa na risiti ya kusafirisha mzigo huo ungewashitaki sasa tatizo hongoo inapindisha haki atahonga na kutupwa hilo swala pembeni.tabia mbovu sana ya kupoteza mizigo ya watu na kujibu kirahisi tu umepotea eboooo
Yaap,kuna ndenjela,mbeya express,mubarikiwe na MP.Yapo mengi sana, uzuri wa Sumry abiria wakienea kwenye viti hasimamishi abiria, mabasi mengine yote abiria hujazana hadi unasimama kwa mguu mmoja kwa kukosekana sehemu ya kukanyaga.
Yaani pale Iringa route ya iringa-dar wamepigwa faini za laki mbili na nusu na SUMATRA ndani ya wiki mbili zaidi ya mara 6.juzi kaka yangu pasipo kujua sumry mbeya dar ya saa kumi na mbili na dak 45 asbh kufika stand hakuna gari kaganda hadi tatu kuwauliza eti gari ilipata ajali hivyo halipo waendelee kusubiri hadi mchana yani ni maudhi mtindo mmoja.
Yaap,kuna ndenjela,mbeya express,mubarikiwe na MP.