Summer Breeze BBQ in Chicago

Una maanisha Queens? pale muulize NN mzee wa zipompa pompa ndio atakuwa anajua status yake.

Ahahahahahaha...okay...kumbe anamaanisha Queens...ahahahahahaha...sijawahi kukanyaga mguu na sitokanyaga mguu. Aheri niende zangu Spondivits au Dave & Buster's kuliko Queens...yuuuuck
 
What's wrong with Queens? Au kwa sababu ni African joint?
 
Mazee chicks za kiwest huwezi kucheza nazo unless unaongea French au zinakujua kiundani.

Sasa tunakwenda Chi-Town au ndio unaogopa maana nasikia una demu uko anakutafuta, mtoto wa kike bado anakupenda lakini wewe humtaki(nimesikia/uvumi).
 
Unaona sasa...nyinyi mabrothermen tatizo lenu ndio hili...mnakwenda kwenye kumbi za starehe kutafuta mademu.

Anyway, mimi napenda kwenda African clubs kwa sababu nikiwa huko napata maandhari ya nyumbani.

Haaaaa taratibu kaka. Hamna mwenendo kama huo bana. Hebu acha uzushi.

Hebu ngoja nimcheki mshikaji wangu mmoja hivi anayesukuma truck ya Wal-Mart. Anaweza kuwa anamwaga mzigo maeneo ya Chicago wikiendi hii. Najua akini-drop tu maeneo yoyote ya Chi-town, mazee Geeque au cupcake wa NN wataniibukia bila ya shida...lol
 
watu wa majuu bana tehe tehe ......waambie mashori wenu wapunguze vitambi......nasikia atl zimejaa totozi za kimachame ndio maana madume ya atl hawasemi kitu.....
 
Arooo...I don't care if y'all know each other and whatnot....Cuppy haji kukuibukia hata ukiwa stranded.

Ha ha haa nilifikiri mandava hawana wivu.... usiwe na wasiwasi cupcake wako ni kama binamu-dada yangu..
 
Unaona sasa...nyinyi mabrothermen tatizo lenu ndio hili...mnakwenda kwenye kumbi za starehe kutafuta mademu.

Anyway, mimi napenda kwenda African clubs kwa sababu nikiwa huko napata maandhari ya nyumbani.

Haaaaa taratibu kaka. Hamna mwenendo kama huo bana. Hebu acha uzushi.

Hebu ngoja nimcheki mshikaji wangu mmoja hivi anayesukuma truck ya Wal-Mart. Anaweza kuwa anamwaga mzigo maeneo ya Chicago wikiendi hii. Najua akini-drop tu maeneo yoyote ya Chi-town, mazee Geeque au cupcake wa NN wataniibukia bila ya shida...lol

Sasa pale nako kuna mandhari gani ya kinyumbani zaidi ya kusikiliza Mayenu tuu?

Yo Yo-Tell 'em, QM ndio ana historia na wamachame.
 
ansikia jk lazima atie timu kwenye bibikyuu...totozi za chicago na pembezoni ushirikiano banda......
 
Itakuwa bomba JK akitokea kwenye BBQ wala asiwe na wasiwasi hatutompiga maswali magumu.
 
dah...........mazee hii nilikuwa sijaiona.....lazima nitie timu mazee
 
Huyo shori kwenye tangazo atakuwepo?...ngabu unamnyaka shori huyo?
 
dah...........mazee hii nilikuwa sijaiona.....lazima nitie timu mazee

Mazee Ogah karibu sana nitakukabidhi kwa totoz za kusini zihakikishe your stay ni memorable if you know what I mean ha ha ha
 
Back
Top Bottom