PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,521
- 13,110
Hujapata kuwafahamu hawa wadudu bila shakaHapo unatumia insecticides, lazima wasarende.
uchawi hauvuki bahari,Hao wadudu hatari sana hivi hawa wazee wa kamati wa huko
Sumbawanga serikali haiwezi
Kuwatumia kama chemical
Weapon tukapambana hata
Na marekani akizingua tu
Tunawatumia jeshi la nyuki
Au radi?
uchawi hauvuki bahari,
ufafanuzi muulize mshana
Ufunguo wa pikipiki unakaa hapo alipopeleka mkono ?Duh!, jamaa anamoyo kuwa hapo karibu.sijui anataka kuchomoa funguo!!..