Sumbawanga sio kwa mchezo ukitaka kuiba inabidi ujipange!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
10,522
13,110
22aecbc872480e448a5a618fe147aa48.jpg
 
Duh!, jamaa anamoyo kuwa hapo karibu.sijui anataka kuchomoa funguo!!..
 
Hao wadudu hatari sana hivi hawa wazee wa kamati wa huko
Sumbawanga serikali haiwezi
Kuwatumia kama chemical
Weapon tukapambana hata
Na marekani akizingua tu
Tunawatumia jeshi la nyuki
Au radi?
 
Hao wadudu hatari sana hivi hawa wazee wa kamati wa huko
Sumbawanga serikali haiwezi
Kuwatumia kama chemical
Weapon tukapambana hata
Na marekani akizingua tu
Tunawatumia jeshi la nyuki
Au radi?
uchawi hauvuki bahari,
ufafanuzi muulize mshana
 
Back
Top Bottom